Recent content by killy mayebo

  1. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Asante je nikiwawekea kwenye maji yanafaa
  2. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Majivu yanasaidia nini kwenye kuku
  3. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Sawa ntafanya hivyo
  4. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Naombeni ushauli . Nina mtoto anaekalibia kufunga miaka miwili.. Usiku hua anasumbua sana yaani analia lia hovyo na tabia kainza kama mwezi hivi na anakuwa na hasila kali hataki mtu yoyote amshike iwe mimi baba yake au mama yake. Je atakuwa anasumbuliwa na ndoto mbaya ? Ama nimakuzi tu ya mtoto
  5. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Habari za masiku wandugu hivi mtoto akiacha ziwa anakuwa analia lia hovyo alafu hataki kubembelezwa yani anakuwa mwenye hasila kali au kuna mambo mengine yanaendelea
  6. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka: Kuku wameanza kufa kwa kasi

    Asante
  7. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka: Kuku wameanza kufa kwa kasi

    Kuku anaekoloma ni ugonjwa gani
  8. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka: Kuku wameanza kufa kwa kasi

    Ndugu nami ni mfugaji. Nauliza kwa kila lita ya maji inahitajika kiasi gani cha gongo na je gongo ile namba moja au uliyopozwa makari
  9. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Habali za masiku humu ndani. Naja tena kunachangamoto imemkuta mwanangu wa Mwaka Mmoja na Miezi minne. Ametoka utando mweupe kama maziwa ziwa kwenye ulimi, Mashavu na mpaka mdomoni. Nani mwenye kujua tiba yake
  10. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mafua ya kuku

    Umemuona kama huyu kuku
  11. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mafua ya kuku

    Sawa ila walipona
  12. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mafua ya kuku

    Asante ntakupa mlejesho
  13. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mafua ya kuku

    Sawa ila huku nilipo maji ya kisima niyachumvi balaa. Sijui yatafaa
  14. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mafua ya kuku

    Wangu wanamafua na wanakoloma sana je dawa gani nzuri.ila niwakienyeji
  15. killy mayebo

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mafua ya kuku

    Amoxicllin unawapaje
Back
Top Bottom