Asilimia 40 ya mazao yanayovunwa Tanzania, yanaharibika kabla ya kumfikia mtumiaji kwa kukosa vifaa vya kuhifadhi mazao lakini pia kwa kukosekana viwanda vya kusindika.
SIDO wako wapi na wanafanya kazi gani?
Habari Wakuu,
Natafuta taasisi au watu binafsi mwenye utaalamu wa kilimo au Ufugaji ambao watakuwa tayari kutoa Elimu kwa watu wenye interest ya kulima mazao mbalimbali au kufuga mifugo mbalimbali.
Elimu na ushauri huu utakuwa kupitia mtandao na lengo ni kuwafikia na kuwasaidia wengi zaidi...
Wadau wa kilimo tumekuwa tukipata changamoto katika kununua au kuuza mazao kwa wakati na bei sahihi. Zifuatazo ni sababu mbali mbali:
Wauzaji/wakulima
1. Kukosekana kwa taarifa sahihi za wanunuzi na mahitaji
2. Kutokujua maeneo yenye uhitaji zaidi wa mazao
3. Bei ndogo kutoka kwa wanunuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.