Msaada wa Wataalamu wa Kilimo na Ufugaji!!!

Kilimo Faida

New Member
Apr 16, 2017
4
0
Habari Wakuu,

Natafuta taasisi au watu binafsi mwenye utaalamu wa kilimo au Ufugaji ambao watakuwa tayari kutoa Elimu kwa watu wenye interest ya kulima mazao mbalimbali au kufuga mifugo mbalimbali.

Elimu na ushauri huu utakuwa kupitia mtandao na lengo ni kuwafikia na kuwasaidia wengi zaidi kwa urahisi na haraka zaidi.

Nahitaji hata wale wenye utaalamu na uzoefu wa zao au mfugo mmoja.

Kwa yule ambae yuko interested naomba accoment na nitamPM

Shukrani.
 
Back
Top Bottom