Recent content by Kilimanjaro moja

  1. K

    Wizara ya michezo inaendesha Semina ya Kibaguzi Mwanga Kilimanjaro

    Mimi sioni kwamba alikosea kusaini, hajaridhishwa ndiyo maana amekuja kupasua jibu. Wapo humu wanapitia huu uzi wataona walivyoumbuka, majizi ni majizi tu.
  2. K

    Wizara ya michezo inaendesha Semina ya Kibaguzi Mwanga Kilimanjaro

    Hiyo serikali imekwisha achiwa laana tokea wawamwagie wazee wa East Afrika maji wakawavulia nguo imekuwa laana kubwa sana kwao.
  3. K

    Polisi yafyatua risasi, mabomu ya machozi Ubungo kuzuia vurugu

    Jeshi la polisi la nchi hii ni janga la kitaifa..
  4. K

    Grace Kiwelu, James Millya, Bananga, Kilewo, Msuya Kuwasha moto Mwanga 07 January

    Hawo magamba walifanya huku nyumbani kama ni shamba la bibi, sasa tumepata mtu wa kuthubutu na kuonyesha njia.
  5. K

    Hakuna utu bila uhuru wa haki bila uhuru

    Naamini kwa kile ulichokinena kama kitasimama basi taifa litauona uhuru wake na wananchi watapata haki yao.
  6. K

    Hakuna utu bila uhuru wa haki bila uhuru

    Ujumbe wako unatosha kuonyesha dhamira yako njema juu ya Taifa hili.
  7. K

    Katibu mwenezi wa CHADEMA Mwanga avamiwa na polisi usiku

    Acha kubweka hovyo, Hebu onyesha kosa lake hapo.
  8. K

    Katibu mwenezi wa CHADEMA Mwanga avamiwa na polisi usiku

    Polisi wamekosa weledi, Sasa ifike mahali tuseme basi.
  9. K

    Katibu mwenezi wa CHADEMA Mwanga avamiwa na polisi usiku

    Baada ya uchaguzi wa jana majira ya saa kumu na moja kukamilika kwa uchaguzi ngazi ya Wilaya Mwanga na kupatikanika viongozi wapya. Jeshi la polisi wilayani humo kwa kutumiwa na maccm kwa hofu ya idadi ya wajumbe toka kata mbalimbali waliyohudhiria Mkutano mkuu wa wilaya, Polisi walienda...
  10. K

    Henry Kilewo - Kumbukumbu inayoumiza lakini inayochochea mabadiliko

    Ukiona mtu anapoteza muda kuongelea maisha ya mtu basi huenda mtu huyo ni mganganjaa ama mtu huyo ni mch.a.wi. mnatamani kuishi maisha ya jiyce ila hamtakaa muishi milele mtabaki hivyo hivyo na wivu wenu. Mtoto ni mzuri ile mbaya huku nyie mkiwa mmepauka kama vinyango.
  11. K

    Henry Kilewo - Kumbukumbu inayoumiza lakini inayochochea mabadiliko

    Nashukuru leo nimeweza kufuatilia mjadala huu uliyoanzishwa jana na Comred Kileo. Hakika kijana kakomaa kijana kaiva maana sijaona sehemu yeyote ile ya Bandiko hili lilipo jibiwa na viherehere wa Lumumba zaidi ya Matusi na kejeli zisizokuwa na msingi wowote kwenye bandiko hili. Hongera kileo...
  12. K

    Mwanahabari na icon ya wanawake wenye uthubutu "Mboni Masimba" kujiunga na CCM

    hahahahahaha.... ccm na vichekesho vyao!!!! Yaani muuza nanihii pale Serena Hotel na sasa amepigwa marufuku kukanyaga ule mlango wa serena, oooh huyo anagawa hiyo nyapsi hapa mjini na imekuwa sugu kwasasa. CCM ni zoa zoa.
  13. K

    Kilewo:Tume ya taifa ya uchaguzi(Nec) italigharimu Taifa

    Hapa hatujadili makabila ya watu tunajadili Mambo makubwa ya nchi? Kama vipi hamia jukwaa la vituko
  14. K

    Kilewo:Tume ya taifa ya uchaguzi(Nec) italigharimu Taifa

    Unataka kumjua kamanda kilewo? Ni katibu wa mkoa wa kinondoni (chadema) na ni katibu wa makatibu kanda maalum ya Dar es salaam, vile vile ni kamanda wa nchi aliyepewa kesi ya ugaidi na maccm jaji akaipiga chini, ila ukitaka kumjua zaidi muulize bwana Mmoja aitwaye pro.Maghembe mbunge wa maccm...
Back
Top Bottom