GL, huyu jamaa ni bonge la kocha sema kaingia yanga kipindi kigumu sana hasa kifedha amejitahidi kuitengeneza team ya kutafuta matokeo kwanza,
Simba wako vzr sana ila wanamapungufu sana kwenye wachezaji wambele ambao ni mbadala wa okwi na Bocko na kama wataendelea kukosekana zaidi ya mechi tano...
Kifo cha Jana siyo bahati mbaya hata kidogo ila ni uzembe wa jeshi la polisi kutokutima uweledi wao ktk kazi hakukuwa na ulazima wa kutumia siraha za moto kuwatawanya waandamaji kwani hakukuwa na viashilia vya fujo hata kidogo pili kama Msimamizi wa uchaguzi angeteo barua na viapo kwa vyama vya...
Kama kamanda wapolice amesibitisha kuwa police wake ndo wamehusika ktk tukio la jana sasa siasa hii inatoka wapi?pili matukio uliyoyataja hapo juu jeshi la polis limewayi kutoa taarifa kama chadema wamehusika kutengeneza au kuhusika kwa namna moja au nyingine?insure ya Lisu hadi Leo jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.