Hatuchangiiii kwasababu ya ufisadi uliokithirii serikalini ufisadi wa kunukaa tunajua serikali ina uwezo wa kuboreshaa mifumo ya elimu lakini wameendekeza ubinafsii tuu
Jamani ata usijisikie vibaya kuna mmama mmoja wa kichaggaa amejenga ghorofaa Mbezi kwa kuuza samaki Botswana na sehemu nyingine kadhaa pia kuna mjasiriamali katajirika Kenya kwa kufanya Fish Farming nakupa hongera kadha bidii!
So inshort Mange is living her Dream And happy? Ebu weka conclusion basi ya mafanikio Yake? LA Kuna nini Anachofanya kinammpa umaarufu? Au labda how successful is she so far kama wakina Kiki au mwamvita??? Njoo Na facts na evidence
This Is just gossip And by the Way gossip is Part of human nature kwanza Mwanaume unatafuta nini kwenye choo Cha kike kashangilie mpira au unataka na wewe tukuvalishe deraa
Yaani Mange angekuwa anaingiza pesa kwa kuchambaa watu kama wakina Ryan seacrest au Wendy Williams dada angekuwa na maghorofa ya haja sio Siri ila ni Frustrations zinamsumbua msameheni bure
Sielewi Hapa unamuongelea nani ? Sioni kama kuna msomi Kati ya Hao wawili of anything They are All ODDS old down Dirty shame so uncivililized!!! Am glad wanawake wanaojieshimu wamekaa nao mbali but i still insist They should be an end to Cyber bullying
Aaaah ni vitu vya kawaida by the Way mie sibebi mabox sorry For that ila ni vitu vya kawaida kuwa na viwanja sio ishu i just Dont know What kama wakina Mange if she was happy with all that she Never needed to Bully anyone And by the Way Kuna wanawake wengi wana majumba ya nguvu wamejenga kwa...
Na aendelee kuchambaa kama zinamongezea Hela ili ajenge gorofa kama la mwavitaa Basi Kheri Yake na Sio kila siku kuonyesha nyumba za urithi next Time atuonyeshee jeuri ya pesa zake mwenyewe au Bado anazisaka kama wengine sie! Maisha ya ulaya tunayajua ni magumu Sana wajanja wanarudii kuwekezaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.