Amejitambua ndio maana ile pesa mliomtengea lazma aikubali. Subiri uchaguz wa hilo muone km mtaambulia kitu. Ukiona chama kinatembea na FISI ujue Sera hawana tena. Vijana hawawez kukataa pesa. Kula pesa ccm piga kura UKAWA.
Kuna watu wanaongea pumba humu. Hasa hao wanaotumia kiingereza. Mfano Jana wabunge wakiwa kwenye semina alinyanyuka kwa hasira na kuongea pumba. Mpaka ilibidi Mbatia asimame na kumuonya kuacha kuongea vitisho kwa wabunge. Huyu mwanasheria ni kihio. Na ole wake Jana km Tundu lisu angekuwepo...
Mimi nipo MOSHI huyu jamaa walimutafuta zaidi ya wiki mbili ili ionekane chadema viongoz MOSHI hawaikubali. Jamaa alitajiwa pesa ndefu ambayo hata km ungekuwa ni wewe usingekataa. Wakampa na kadi feki ili awape vijana mtaani ili waonekane wamekihama chama. Uliofanyika in usanii.
Zito ni msanii tena sana. Km kweli Act ni wazalendo atuambie gharama za ukumbi walzotumia na atuambie gharama za kuonyesha live masaa 3 ITV na Azam TV. Lasivyo atakuwa msanii aliyetumwa na ccm kuja kuua ukawa.
Zito pia ndio mmiliki wa hicho chama. Maana ukisoma katiba hakuna wakuhoji mamalaka ya mwenye chama zzk. Ukiona tu hivyo vitu unagundua zzk ni km mfalme Act.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.