Mimi ni mtumiaji wa Bank ya crdb kwa zaidi ya kipindi Cha miaka kumi na nne sasa.Lakini kwa mwenendo huu wa crdb bank hakika si bank rafiki tena kwa wateja.
Kwanza kila ukifika katika AMT zao unakuta wateja wamejazana na wote wanalalamikia huduma mbaya za kibank ndani ya bank yenyewe na hata...
TAA(Serikali) iwalipe wafanyakazi wake vizuri hayo yote yatakwisha. Wanakusanya mapato ya kutosha lakini serikali inawabania na huku ni Mamlaka kamili.Wawaachie Passenger Service Charge yao wajiendeshe....kisha waone aibu hizo kama zitatokea.
Kaka Bora umwambie.Miaka ya tisini wanafunzi wa sekondari wanavo pishana kila mmoja kwenda shule yake ilikuwa ni ajabu kwa upande wangu.Hapo hata ishu za shule za kata hakuna.S
Kwa
Kwa taarifa yako ndio kwanza pamekucha.Barabara kutoka Mwanga mpaka Kilomeni kupandishwa hadhi na kuwa ya TANROAD wala haikufanyika Msuya akiwa ana Nguvu tena za kisiasa.Zimefanyika kipindi Cha Magufuli.Kwahiyo kusema alikuwa anawapendelea huyo Msuya si kweli.Lile Jimbo litabaki kuwa...
Kaka hivi unaota ama?Wamezubaa?Kwenye nyumba 10 kati yake 8 zina maji.Umeme ndo kabisaa.Unajua kitu kinaitwa Msaragambo?Kule tokea enzi hizo hawangoji wanasiasa au serikali iwafanyie maendeleo ....wao wanafanya serikali itawakuta mbelembele.Kwa uongo ulio uongea hapa...yani wewe ndio mpwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.