Recent content by Kilamuluzi

  1. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Warioba: Hakuna chama cha upinzani kinachoweza kuongoza nchi

    Duh siamini kama haya maneno umeyaandika wewe mkuu.
  2. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za kutoka Tanzania zinabaguliwa kwenye soko la Afrika Mashariki

    Hata wao tusikukubari waje kununua bidhaa huku kwetu hususani chakula maana wao hata ardhi ya kulima hawana.
  3. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    Sasa mbona mnatuchanganya
  4. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini wamewaleta Wachina waje kujenga Nguzo za zege

    Kusema kweli sio kazi ngumu ni rahisi sana na ziko yofauti na za nyumba, wala sio kazi ngumu kiivyo hadi uchukue wachina kama wanataka wanitafute niwape huo utaalam tanesco
  5. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini wamewaleta Wachina waje kujenga Nguzo za zege

    Nguzo za umeme kwa kutumia zege hata Veta wanaweza kutengeneza
  6. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

    Nasikia lowasa akiwa Rais na rostam Aziz atakuwa wazili mkuu
  7. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Serikali kupiga marufuku tiba kwa njia ya ramli ni kuvunja Katiba ya nchi

    Nakubaliana na mleta mada sisi bado ni Africans na tuna tamaduni zetu, hatuna budi kuendeleza tamaduni zetu na huo uzungu wenu unawasumbua hata hamjuhi mnalolisema. Na majanga mengi yanatokana na kupuuza tamaduni zetu. Hata ukiangalia vitabu vya dini bado utagudua na huko kuna matambiko
  8. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania TAARIFA KWA UMMA; Motisha kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa mtorosha MADINI Nje ya Nchi

    Na yale yanayotoroshwa buzwagi na geita
  9. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa kuzindua miradi ya maji Kyela

    Kwa hiyo unataka wewe ndiyo mkewe wa pili?
  10. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta (Januari 06, 2015)

    Hapa Kigali Rwanda tunanunua lita ya petrol na diezel ni 895rwf
  11. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi kuiita pesa ya nchi yake pesa ya madafu, kiongozi kweli huyo?

    Moja kwa moja akiachia madaraka ni mahakamani, sasa hivi nahitaji msaada wa kisheria maana hata shilingi ni tunu ya taifa.
  12. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    Chakushangaza zaidi ni hapo Kikwete alipoamua kuidhalilisha shilingi na kuiita pesa ya MADAFU! Kusema ukweli kama kiongozi mkubwa wa nchi hakupaswa kutamka neno la kudhalilisha uchumi wa taifa lake kana kwamba yeye si mtanzania, imeniuma sana.
  13. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Hapo ndipo inapojidhihirisha kuwa Jk amelamba fedha za escrow hivyo hawezi kufanya chochote. Rais dhaifu na legelege kama anakulaga ulojo.
  14. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Mbona tbc hawatupi matokeo naona wanamtangaza Mohamed Ali
  15. Kilamuluzi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Safi sanaaaaaa ukawa ondoa na delete magamba
Back
Top Bottom