Recent content by kilambimkwidu

  1. kilambimkwidu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iwarudishe kina Yericko, Mrema na wengine bila masharti yoyote

    Chadema si mlisema kimekufa?
  2. kilambimkwidu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Wakatoliki wote Tanzania, waumini wa Ufufuo na Uzima hawatapiga kura mwaka huu?

    Uchaguzi hautafanyika kwasababu mgombea flani hatoboi
  3. kilambimkwidu

    JamiiForums Tanzania Je Nani atafuata kuwa mkurugenzi wa TISS?

    Atatokea unguja
  4. kilambimkwidu

    JamiiForums Tanzania Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

    Wakati wa mfungo mnakesha usiku kucha mnakula daku halafu wakati wa vita mnasubiri muamshwe kuambiwa mnashambuliwa, matope kabisa!
  5. kilambimkwidu

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Iran ilichelewa sana kusoma alama za nyakati. Israel katandika proxies zote za Iran zilizo Palestine, Syrian, Lebanon na Yemen ili kupungiza tishio, then kamuanza Iran mwenyewe kwa kupiga mifumo na miundombinu ya kijeshi na baada ya kumaliza na hiyo Fordow .... sasa wanaingia mtaan kuchinja...
  6. kilambimkwidu

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Hii taarifa jema sana kwakua sasa US imeguswa
  7. kilambimkwidu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya Lissu ipo kwa maslahi ya umma . Haipo kwa ajili ya kuganga njaa. Ndio maana inachukiwa na watawala wa CCM

    Lissu katoa funzo kubwa sana kwa Tanzania na ulimwengu. Na move inavoenda anazidi kumuaibisja Mboe kwamba alikua anapiga deal, hakua mpinzani
  8. kilambimkwidu

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    HMHU
  9. kilambimkwidu

    JamiiForums Tanzania No reform no election imeshika kasi kituo kinachofuata ni madai ya katiba mpya

    NO REFORMS NO ELECTION
  10. kilambimkwidu

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani amtembelea Dr. Kitima; akemea ukandamizaji

    No reforms, no election. Hatutayamaza
Back
Top Bottom