Recent content by kilalye

  1. K

    Kama Rais anachaguliwa na wananchi, Spika wa bunge anachaguliwa na wabunge, kwanini Jaji mkuu asichaguliwe na majaji?

    Halafu wao wenyewe wametulia hawahoji wala hawana wasiwasi.inaonekana kuwa jaji ni zawadi na sio weredi wa taaluma. Tumechelewa sana.
  2. K

    Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

    Wizi ni sera ya chama chetu
  3. K

    CHADEMA yampa siku tatu Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa awe amewajibika

    Bubu yangu alikua anasema DEMETI safi sana kamanda tunataka watu imara .
  4. K

    DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Nashukuru kwa kumkumbusha Mkurugenzi Dr Mashimba ni wazi anaonyesha kumuendekeza kishegwe kwenye ujinga wake lakini tunamsisitiza Ili kulinda heshima yake akae nae mbali vinginevyo tutaweka wazi hapa labda kwasababu alimtengenezea connection njia ya kuelekea Iringa kule.
  5. K

    DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Naamini mlengwa ambaye ni mh Rais ujumbe umemfikia hupwaswi kujua kama Mimi ni mwalimi au Iandishi,taisi.
  6. K

    DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Hakika ni upumbavu na ni mambo ya kizamani sana
  7. K

    DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa, tunamshukuri Mungu kwa kutupa rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi kifupi Mungu akubaliki mama yetu,. Neno hali alijawahi kuachwa kwenye kinywa chako, ukiamini haki...
  8. K

    DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa. Tunamshukuri Mungu kwa kutupa Rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi kifupi Mungu akubariki mama yetu. Neno haki halijawahi kuachwa kwenye kinywa chako, ukiamini haki...
  9. K

    DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    Kuna MTU anaitwa kayombo (DEA) pale Tamisemi anapozungumzia ungoni ungoni na connect dot!!
  10. K

    DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    Tena wa shule ya msingi wananyodo Sana ni wachache Sana wanaojitambua nafikiri hizo nafasi zitakuwa za kuhongana.
  11. K

    Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

    Nakubaliana na wewe kwa 100% mleta mada uwenda anachuki binafsi na msode tatizo ni huyo kayombo mbaya zaidi msonde anaonekana kumuamini.
  12. K

    DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    Kwa taarifa hii ni wazi huyo afisa elimu tabia hizo anazo ni wakati Sasa tamisemi wafanye uchunguzi na kumchukulia hatua.
Back
Top Bottom