Recent content by kilago

  1. K

    JamiiForums Crdb bank vipi wameshaita interview ya pili ya relationship manager

    Ni takribani wiki mbili sasa tangu tufanye interview ya kwanza na CRDB Bank upande wa Microfinance pale CRDB BANK HOUSE-MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA kwa post ya Relationship Manager-Microfinance na walituahidi kutupigia baada ya wiki ila mpaka sasa ni kimya. Kwa mwenye taarifa yeyote anijuze
  2. K

    JamiiForums Uko wapi uzalendo wa viongozi wa kanda ya kusini

    Kanda ya Kusini imependelewa kwa kuwa na Wabunge ambao wengi wao ni Mawaziri ambapo kwa Mkoa wa Mtwara: Mtwara Vijijini Mbunge wake ni Mh: Hawa Ghasia ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma; Newala Mbunge wake ni Mh: Capt Mstaafu George Mkuchika ambaye ni Waziri...
Back
Top Bottom