Recent content by Kikwajuni One

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rostam: Umejibu na watanzania wamekusikia

    Safi sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rostam Maelezo yake yamenyooka na yanaeleweka. Huenda Mtangazaji ndiye ameshindwa kumhoji

    Ubaguzi wa aina zote,Mwalimu Nyerere,alisha ziondoa.Mwalimu Nyerere,aliwapa mpaka uwaziri,na nafasi mbali mbali,watu wenye asili za uhindi,uarabu,usomall,uzungu,mwalimu hakuwa mkabila,tukumbuke hivyo.Kwa mfano mtanzania ,mwenye asili ya kiarabu,kihindi,kisomali,kizungu,ukifika ofisini kwake,na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tofauti Kati ya Mungu wanayemwabudu Wayahudi na Mungu wanayemwabudu Wakristo na Mungu wanayemwabudu Waislam

    Waislamu wanaamini Taurat,Zabur,Injili ni vitabu vya Mungu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sitasahau huyu mzee alivyopinda mdomo kwa kufuga jini

    Pia yaliingia kwa Yuda,akapewa vipande vya fedha,na kufanikisha Yesu,kuonekana alikojificha,wakamkamata na kumsulubu,Yuda mpaka Leo,anaitwa msaliti
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sitasahau huyu mzee alivyopinda mdomo kwa kufuga jini

    Baki huko huko.huko huko Yesu alikosulubiwa na kuuliwa kwa kupitia jini aliyemuingia mwanafunzi wake Yuda akafanikisha mpango wa kusulubiwa Yesu kwa vipande vya fedha
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sitasahau huyu mzee alivyopinda mdomo kwa kufuga jini

    Yesu mwenyewe,alishindwa kumdhibiti jini,aliyemuingia mwanafunzi wake,Yuda,mpaka Yuda akapokea rushwa ya vipande vya fedha,akawaelekeza maadui wa Yesu,alipo,wakamkamata Yesu,wakamsulubu.juu ya kuwa Yesu,aliomba kwa kuanguka kifudifudi mara tatu,kikombe hiki cha umauti kimuepuke.lakini Yuda...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sitasahau huyu mzee alivyopinda mdomo kwa kufuga jini

    Yesu huyu aliyesalitiwa kupitia Yuda,aliyeingiwq na jini,na kupokea rushed ya vipande vya fedha na kuwapelekq maadui wa Yesu,na juu ya kuwa Yesu alianguka mara 3 kigudi fudi,ill.kikombe cha umauti kidimpate lakimni walimkamata,wakamsulubu kwa kupitia kwa jini aliyemuingia Yuda.Mt 22:33-65
  8. K

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Utaumia moyo bure.Mama,mitano tena
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Sio shida wala aibu kwa chama kuwasafirisha wanachama wake

    Tunatiki kwa Mama,InshaAllah
  10. K

    JamiiForums Tanzania Fundisho la Upatanisho Halikufundishwa na Yesu Bali Lilibuniwa na Paulo

    Hawa wangekuwa na akili wangekubaliana na Qur'an kuwa Yesu,hakusulubiwa na hakufa,alipaishwa mbinguni,kwasabu 1.Aliomba kikombe cha umauti kimuepuke,na akaanguka kifudifudi,kuomba,mara tatu,kwa hiyo maombi yake,hayakukubaliwa,alikuwa hana uwexo,wakukubaliwa maombi yake,kwa Mungu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Fundisho la Upatanisho Halikufundishwa na Yesu Bali Lilibuniwa na Paulo

    Kwa hiyo hiki kitendo cha kusulubiwa,kilikuwa ni kibaya,ndio akawaombea msamaha,waliomsulubu,ikiwa ni kitendo kibaya,kwa nini twasema,ni.kitendo kizuri cha kuwakomboa wanadamu,kwenye dhambi, Mnajichanganya sana wakristo,kitendo kizuri cha kusamehewa dhambi vipi tena waliofanikisha waombewe...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Fundisho la Upatanisho Halikufundishwa na Yesu Bali Lilibuniwa na Paulo

    Kama Yesu,alisulubiwa kwa kupitia usaliti wa Yuda ni matokeo ya 1.Usaliti wa Yuda 2.Mapepo machafu(majini) yalimuingia Yuda 3.Rushwa ya vipande vya fedha,ndio vilivyofanikisha Yesu,asulubiw 4 Huu mpango,aliufanya Yuda,ilitakiwa apongezwe,kufanikisha,lakini Yesu akamuita 1.Msaliti 2.Alipewa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Fundisho la Upatanisho Halikufundishwa na Yesu Bali Lilibuniwa na Paulo

    HMtume Muhammad,Haiti Mungu,wala hakujiita Mungu,yeye alisema ni Mtume na Nabii na akasema yeye ni binadamu tu,kwa hiyo huwezi kusema kuwa mbona yuko kaburini,wakati alishasema yeye ni binadamu,hana uungu.Sasa huyo mnayemuita Mungu,vipi alishindwa kujiokoa kwa maadui zake,wasimuue,tena kauliwa...
Back
Top Bottom