Wanabodi na Mkuu Ruge;
Mkuu Ruge sioni sababu ya wewe kupoteza muda wako kukaa eti kuja na maelezo ya kuwa Kwanini ulienda kushuhudia uzinduzi wa kuweka jiwe la msingi ujenz wa bomba la mafuta-Chongoleani Tanga. Maelezo kwamba mmesameheana kutoka moyoni na RC Paul kama Mhe;Rais JPM...
Wanabodi JF,
Wabunge 8 wa CUF hawajafukuzwa uwanachama na chama chao, "Mamlaka iliyokuajiri ndiyo mamlaka inayoweza kusitisha ajira yako" na si vinginevyo. Mhe. Spika hakuwa na sababu ya kupokea hiyo barua na hatakama amepokea hana sababu ya kufanyia kazi madai ya Lipumba. Wabunge...
Meseji sent mkuu. mimi ni mtanzania, mbona na wao wanakosea Kiswahili still mnawapongeza wamejitahidi kuongea. Na mimi nipongeze mkuu badala ya kunibeza. naamini hoja yangu na ujumbe umekufikia
Mkuu yule ni baba wa familia kama wewe huko kwako akikaa ndani miezi hiyo minne mliyokubaliana na waliokutuma uandike hili badiko lako hamtakuwa mnamtendea haki yeye, familia yake na hata jamii ya watanzania wengi ambao ameshikilia mashauri yao kuwa tetea mahakamani. Kwa ujumla mna iathiri jamii...
Mkuu Petro hoja yako nimekuelewa sana. labda nifafanue vizuri, nimekuelewa yakuwa wale mawakili 18 wanaomtetea Mhe. Lisu Mbunge na Rais wa TLS hawafanyi kwa maelekezo wala kwa niaba ya TLS. Ni mawakili binafsi ambao ni wanachama wa TLS kwa mujibu wa katiba ya TLS lakini wanamtetea kwa personal...
Mkuu Yehodaya.Yule ni Rais wa chama cha mawakili ama wanasheria wa Tanganyika TLS, Mkuu wewe inakuuma nini wakimtetea Rais wao? Mathalani, ulidhani ingekuwa ni busara kwa wananchi watanzania wasikie Rais wao mpendwa anatuhumiwa kwa mambo yake binafsi halafu wasimtete wa kae kimya kwa sababu ni...
Nampongeza sana Mhe:Rais Magufuli pia ningependa afuatilie mchango wa David Kafulila akiwa Mbunge huko kwenye vikao vya huko nyuma, na kwenye huu mjadala wa escrow na kila akisimama, mwisho ampe ubunge halafu amteue ajaze nafasi iliyoachwa wazi ya waziri wa nishati na madini yule kijana anaweza...
"Mungu asipoulinda mji alindae afanya kazi bure" vivyo hivyo "Mungu asipoilinda nchi walindao wafanya kazi bure" Kuna mwingine alitupwa kwenye zoo ya simba wlioshindishwa na njaa yapata majuma saba.
Lakini simba hawakumla bali yeye mfalme alishangaa kuona simba walivyokuwa wikicheza na kuwaramba...
Mkuu uwe na shukrani leo hii kama Kafulila angeenda darasani na kuacha siasa ungejua wapi madudu ya escrow? nani angemgusa set na ruge? nani angejua ukipewa bil.1.6 unapewa uwenyekit wa bunge? au unapita kwenye kura za maoni kwenye chama chako kama umepewa bil.1.6 za mboga? nani angejua mambo ya...
la
Haiwezekani TCRA wamo humu pia wakae kimya kama hawahusiki, Labda kama wana-percentage zao Jaribu kuwasema wao direct uone watakovyo tiririka humu. mimi walinipiga laki 150 iliingia kwa namba ya wakala wao mwingine kimakosa , nimesubiri hayo masaa 72 mpaka ikafika miezi 3 nimezipata baada ya...
Huu ndiyo uzuri wa jf kuna watu ni great thinker wameelewa tunachokipenda siasa za hoja na sio kushindana kwa kuonyesheana misuli kwa wanasiasa walioko kwenye power kumiss use their power. kwa utashi wao.Na walioko kwenye vyama kama wajumbe wanabaki kuwa victim. Hili litakuja kutuletea shida in...
I get you Sir, You are very right from wrong But our challenge is only on political manner, other things remain constant. Tukijitahidi kuwa na siasa za upendo na amani its oky. Lakini siasa za visasi is like inviting demon on our ceremony as a "guest of honor"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.