Recent content by KIKUKI

  1. KIKUKI

    Kwani kuna Ulazima wa kufua Shuka ?

    Binaadamu tunatofautiana katika uendeshaji wa maisha yetu ya kila siku Kwa Upande wa usafi wa mashuka, wapo wanaolalia siku moja , wengine kila baada ya wiki , wengine wanaenda mbali zaidi mpaka siku akiwa na shoo na mtoto wa kike ndio hubadilisha au kufua shuka lake Ukiachana na suala la...
  2. KIKUKI

    Natafuta mwanaume anaejielewa tumalizie maisha yaliyobaki

    Daaah ile bahati nilokuwa sikuzote naomba niipate naona leo imetimia
  3. KIKUKI

    Ndoto za Mchana

    Daaah yani io ingetimia saiv ligi ya uingereza tungekua na Watanzania wawili , samata na mwanao
  4. KIKUKI

    Ndoto za Mchana

    Mkuu zimepeperuka , saiv labda yaanzishwe mashindano ya kula huenda nikashiriki
  5. KIKUKI

    Ni sababu ipi inayokufanya utafute mpenzi?

    Kwa sababu kila pesa zangu nnavyozitumia naona haziishi tu
  6. KIKUKI

    Ndoto za Mchana

    Hahaha kwaio mkuu hilo ushalikatia tamaa ??
  7. KIKUKI

    Ndoto za Mchana

    Habari zenu wakuu , katika maisha kuna wakati unatamani kufanya jambo fulani na unakuwa na matumaini ipo siku utalifanikisha Wapo wenye ndoto za kuwa na magari mazuri , nyumba za kifahari , kuwa maraisi au wanasiasa mashuhuri na mengineyo Binafsi , ndoto yangu ya mchana natamani siku moja...
  8. KIKUKI

    Makapuku Forum

    Wanasema dunia ni duara, naamini ipo siku makapuku na sisi tutaitwa wakongwe na heshima itakuwepo na bahati nzuri hatutowadharau makapuku wepya
Back
Top Bottom