Nimeshangazwa sana na hoja zisivokuwa na maana kama hizo za kumsema mtendaji mkuu wa chuo hicho cha utumishi wa umma (èti ni mkandamizaji) mimi kama mdau wa zamani ninayoyajua fika ni haya.......https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2026544/
Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (MB), kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni kiongozi bora na si bora kiongozi na ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini katika kuendelea kusimamia Utumishi wa umma.
Nikiwa kama mdau wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.