Aliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada.
==========
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.
Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George...
Inacho Uma Mwenyekiti Amekaa Kimya Sana Kwenye Ili Swala Sijui Ana Maana Gani Na Niswala Kubwa Na Gumu Lakini Yuko Kmy Au ndio lile Biti alilopigwa Na Mdee Kua Atatoboa Siri Za Ndani so sad
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.