Kuna mwanafalsafa mmoja ameandika kitabu, "What is this thing called science?". Aliandika baada ya kuona watu wengi ili hoja zao zikubaliwe basi wanaongezea neno "Science". Sio ajabu hata yale maeneo ambayo hatukuzoea kuyaita science sasa ni .... sayansi. Nakubaliana na wewe kuwa siasa ni...
Ni makala nzuri ambayo imejaribu kuwadhalilisha waTanzania wanaoamini katika tiba asili. Maana wapo hata viongozi ambao wamewahi na wanaenda kupata tiba na "kunywa vikombe" kwa waganga hawa. Wakati sayansi ya kimagharibi inakataza dawa zinazotokana na miti shamba (dawa za waganga wa kienyeji)...
Huu uzi haujakaa sawa. Unaweza kuleta uchochezi. Unaposema watu wa Mbeya una maana gani? Una maanisha: Watu wanaoishi Mbeya? Au waliozaliwa Mbeya na kuishi Mbeya? Ama waliozaliwa katika wilaya za mkoa wa Mbeya na kuishi sehemu zingine?
Je, waliozomea ni watu wote wa mkoa wa Mbeya au kundi la...
Hoja zako zilihitaji uwe dispassionate kidogo. Ungejikita zaidi kwenye watu ambao ni walaghai ndani ya Chama husika badala ya kutumia sifa za baadhi ya watu ndani ya chama na kuzifanya sifa za chama. Kwa mfano, kama ndani ya CCM kuna mafisadi, wezi, nk haimaanishi chama chote ni cha kifisadi au...
Sasa hivi kuna uchangiaji katika elimu hasa elimu ya juu. Na kuna baadhi walinyimwa kabisa mikopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu pamoja na kwamba ni watoto wa maskini na wana sifa stahiki za kupata mkopo kwa 100%. Lakini baada ya jitihada binafsi za kujisomesha, baadae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.