Recent content by kiki255

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangalla amewataka waajiri katika sekta za umma na binafsi kutoajiri wataalamu wasiosajiliwa

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla amewataka waajiri wote katika sekta ya umma na sekta binafsi kutowaajiri watalaamu ambao hawajasajiliwa.  Dkt. Hamisi Kigwangalla pia amewataka kutowaajiri watumishi ambao hawana vyeti vya usajili kutoka...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna matapeli wanatembea na pafumes zenye spray ya madawa ya kulevya

    Kuna utapeli fulani umejitokeza japo ulikuwa wa miaka ya nyuma,umejirudia tena siku hizi. Kuna matapeli wanatembea na pafumes kumbe mle wamechanganya na spray ya madawa ya kulevya,wanakupulizia kiganjan mwako uinuse kama unavutiwa huku ukijua pafume. Ukishainusa huchukui dk 3,unakuwa nusu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yajuta kuwaua wanajeshi wa Syria

    Marekani imesema inasikitika juu ya shambulio lililoongozwa na ndege zake za kivita ambapo, bila kukusudia zililipua kambi za wanajeshi wa Syria. Wakati huohuo Marekani imekosoa Urusi kwa kuitisha mkutano maalumu wa Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa ikisema hatua hiyo ya Urusi kutaka...
Back
Top Bottom