Recent content by Kikalove

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa vitabu vya review

    Habar wakuu, natafuta vitabu vya review advance, bios one and two, na chemistry one and two kwa sh elf tano kila kimoja, natafuta vile used ili niendane na pesa niliyonayo. Mwenye navyo tuwasiliane kwa no 0652819017
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi hupeleka watoto wao vyuo vya Uganda na Kenya?

    Me baba na mama wamenipeleka dodoma
  3. K

    JamiiForums Tanzania Faraja Nyalandu ana miaka 30?

    Mmh kwel sitti mtemvu, alikua na kigundu kumbe na bint temu alidanganya? Happiness magesse nae alidanganya.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wahitaji wa mwalimu wa Physics

    Shule ipo kibaha n prvate, ntafute kwa no 0652819017
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara kudaiwa pesa za Mwenge

    sio upole ndugu me sifaham ndo maana nipo hivi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara kudaiwa pesa za Mwenge

    ndugu vipi wewe umeshachanga?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara kudaiwa pesa za Mwenge

    najua kuhusu mwenge ila kuchangia tafadhari nahitaj elim
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara kudaiwa pesa za Mwenge

    ukweli mimi naomba kwanza watupe elimu kuhusu hicho kitu, kama si hivyo itakua ngumu kuchanga
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara kudaiwa pesa za Mwenge

    nimetoka sasa ofisiya serikali ya mitaa, nimewajibu sina akaniambia kua mimi ni kiburi na sitaki kuchangia tu, wamenitaka niaandike kwa maandishi na nimefanya hivyo... na wamesema si nafanya biashara kwenye eneo lao tutaonana tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara kudaiwa pesa za Mwenge

    Habari, Jamani naomba msaada wetu, mitaa ya home tuna kitigo pesa kidogo, na nmekianzisha baada ya kukosa ajira juzi wamekuja watu wa serikali za mitaa wanadai pesa za mwenge eti 10000, daa mimi sina na tangu nikue hii ni mara ya kwanza kusikia hili. Naomba mnijuze hii ni nini na kwa nini...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka mitano hawa ma-celebz watakuwa wapi?

    wewe je?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwikwi kwa mtoto mchanga: Chanzo na Tiba

    Kwanza maana ya kwikwi, ni kujaa kwa hewa tumboni ni hewa tu ipo tumboni hakuna dawa ya asili wala kisayansi jibbu ni kwamba ananyonya hewa ni si maziwa ndo maana inajaa, swali una maziwa ya kutosha? itakua maziwa yako si ya kutosha ndo maana anameza hewa.... jitahidi kwenye maziwa, na usimpe...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwikwi kwa mtoto mchanga: Chanzo na Tiba

    maziwa ya moto? kwani si ananyonya kwa mama yake?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tazama mwizi aliyenaswa akiiba mahindi shambani alivyolazimishwa kuyala yakiwa mabichi

    kwa hiyo ukikutwa unaiba mke wa mtu, adhabu ni kumla mabao kumi?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Fuvu la Goliati lagunduliwa

    shika unaloliamini
Back
Top Bottom