wanyamwezi wenzngu tujikomboe kifikra kwanza kuliko kulalamika kila siku,kulalamika hatutatusaidia kitu,2fanye mapinduzi sasa,2amkeni sasa na kuwaondoa viongozi hawa walio lala usingizi wa pono,wanahojali ni kufurahisha watawala wao na kutetea chama chao kuliko kuwatetea wananchi wao,tabora ni...