Recent content by kijimsela

  1. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Wadau hii Pre-Order ya Phantom6 Kutoka Tecno Veepee? Mi nimeipenda.

    Phantom 6 je?
  2. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Wadau hii Pre-Order ya Phantom6 Kutoka Tecno Veepee? Mi nimeipenda.

    Itakuwa sh.ngapi?
  3. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Nimesoma fani tofauti lakini nataka kuwa mwalimu

    Shake Money, Una degree ya fani gani kwani?
  4. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Majibu ya HESLB appeals yanatoka lini ?

    kwa hiyo watalipa kwa semister ya 1&2 au ya 2 tu.
  5. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Majibu ya HESLB appeals yanatoka lini ?

    vipi kwenye mtandao hayapatikani? maana nimeangalia website ya bodi hakuna kitu.
  6. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Dunia ya sasa ni ushindani si lele mama

    kweli kabisa mkuu
  7. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi anapopewa nusu mkopo

    Shukuru na hicho ulichopata, wengine wamekosa kabisa na wanaiomba bodi wawape hata nusu.
  8. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

    Mimi nimewekeza kwenye mfuko mmoja wapo pale UTT unaitwa mfuko wa jikimu ambao napata gawio kila robo mwaka lakini gawio hilo silichukui linaendelea kununua vipande. sasa ninachouliza hii UMOJA FUND na JIKIMU FUND ipi nzuri kuwekeza? maana nilimsikia mfanyakazi mmoja wa UTT akielezea kuhusu...
  9. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Mwenye mwangaza wa kutumia boom

    tuchukulie anategemea ndugu wamsaidie hiyo ada iliyobaki. Kwani hata hao wanao lipwa asilimia miamoja lkn bado mwisho wa siku wanalalamika nyumbani na kwa ndugu baki wawatumie fedha ya matumizi, wanadai imeisha, hususani pale kipindi kigumu cha boom kukalibia kutoka. Siku hizi wazazi hata kama...
  10. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Mwenye mwangaza wa kutumia boom

    Ndugu yangu TIASSA Twende taratibu, kama ni siku 240 @7500=1,800,000 hii ni ya chakula kwa mwaka mzima unayopewa na bodi. chukua 1,800,000-720,000=1,080,000/= Sasa hii 1,080,000/= ndiyo niliyosema unaibana kwa ajili ya chakula kama nilivyochanganua hapo juu. Kuhusu usafiri amesema yupo chuo...
  11. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Mwenye mwangaza wa kutumia boom

    -Chai tumia 600(yaani chai rangi 200,maandazi 2 @200) -Lunch 1200(Ugali au wali maharage,mchuzi na mboga za majani) -Dinner 1200 as lunch -maji 2 @500=1000 -vocha 500 -hutokuwa na gharama ya nauli kwani pale NIT hostel za kupanga zipo karibu sana na chuo yaani mabibo kwa hiyo utatembea tu...
  12. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Msaada nakufa mwenzenu

    asubiri second batch UDOM kama hayupo first batch.
  13. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Haya sasa wale wa UDSM, kazi imeanza

    JOINING IMESHATOKA KAZI KWAKO Please download following important documents Freshers' Joining Instructions 2014-2015 Pre-orieantation Information 2014-2015 Issuance of Admission Letters source: www.udsm.ac.tz
  14. kijimsela

    JamiiForums Tanzania Je Unajua Aliyevujisha Post?

    mwisho wa kesho ni saa 6 usiku
Back
Top Bottom