Sasa nipo hapa bado na watu ndio wanatawanyika huku na Kule tayari kwenda katika familia mbalimbali kwa abili ya kuwafariji wafiwa...kweli watu mi wengi na jua mi kali vile vile
Naona tendo hili la mazishi linafanyika si kwa kuwaweka waanga hao sehemu moja ila kila familia imeamua kufanya mazishi ya kifamilia.bado Nilo eneo la tukio
Kwa sasa naona miili ya waliopata janga la kuporomokewa NA kifusi cha moramu maeneo ya Moshono imeshawasili katila kanisa la Kilutheri kata ya Moshono kwa kweli waombolezaji ni wengi na misa ndio imeshaanza.Tutaendelea kujulishana nipo eneo la tukio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.