Wewe ni mwanaume, unagundua kua mwanamke wako kuna vitu akwambii ukweli, hii baada ya kugundua kua, aliyekua mpenz wake ambaye alimkubali kipindi cha nyuma lakini wakati uko nae, lakini baadaye mkayamaliza, sasa unagundua kua anamtafutia kazi, lakini baada ya kumuuliza anakwambia kitu tofauti...