Recent content by Kijanakijana

  1. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Seseko...seseko soma ujumbe wangu
  2. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    seseko kuna mtu anataka kuja mwanza we uende dodoma wilaya ya chamwino sekondari ya hombolo.kama upo tayari nitumie no yako nikucheki.
  3. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nipo dodoma chamwino vijijini.mwalimu yoyote anaependa kuja chamwino kutokea dar au moshi au arusha.ni shule ya msingi.
  4. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    jamani bado nauliza mtu wa kubadilishana anaetaka kwenda dodoma wilaya ya chamwino vijijini mimi nije dar es salaam.0652007890
  5. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mapengo juniour vp?mbona haujatoa no?
  6. K

    Uhamisho TAMISEMI 2012/13 Attached

    kilimasera naomba tuwasiliane.0652007890
  7. K

    Nyumba nyumba nyumba za kupanga

    No 8. Nyumba kubwa ndani ya fence. Vyumba vitatu vya kulala na sebule kubwa na dining na parking kubwa.nyumba ya kisasa ina gypsum na tiles kote ndani.madirisha ni ya vioo vya tinted slide.full ac.umeme wa luku na ina kisima cha maji na matenki juu.ipo mahali pa mtaa mwenye utulivu mkubwa.bei...
  8. K

    Nyumba nyumba nyumba za kupanga

    Cell phone no +255652007890
  9. K

    Nyumba nyumba nyumba za kupanga

    Samahani wadau nyumba no 7 ipo extrnal
  10. K

    Nyumba nyumba nyumba za kupanga

    No5 Nyumba ipo Mandela Road eneo la riverside. Mwendo kwa mguu toka main road ni dakika tano. Chumba cha kulala,dining vyote ni vikubwa na vya kisasa.makabati yamejengewa ndani kote vyumbani pamoja na bafuni na chooni na jikoni. Ndani ya fence na maji ya DAWASCO mara moja kwa wiki,na kuna kisima...
  11. K

    Nyumba nyumba nyumba za kupanga

    No 2 apartment type chumba kimoja cha kulala futi 16 kwa 16,chumba cha pili cha kulala ukubwa sawa na cha kwanza,master futi 16 kwa 28,jiko la ndani,choo na bafu la ndani,maji ya dawasco yanatoka mara moja kwa wiki,tank la lita 1000 lipo limejengewa juu,umeme wa luku yako mwenyewe,vyumba vyote...
  12. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    john cena no ulitotoa nimeshairusha kwa mhusika
  13. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    john cena ukipata mtu anataka kuhamia dom kutoka dar wa primary school tushtuane pia.
Back
Top Bottom