Recent content by Kijana mwaminifu

  1. Kijana mwaminifu

    Nasimama na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Hakuna jiwe litakalo sisi juu ya mwamba
  2. Kijana mwaminifu

    Wanasiasa mkemeeni Karia wa TFF, amesababisha mpasuko mkubwa mno kwenye timu yetu ya taifa

    Kwa hiyo hayo maneno umeyaskia wewe tu mbona wengine hatujackia na tulikuwepo kwa mkapa
  3. Kijana mwaminifu

    Kwa Nchi zinazojielewa Tozo zinaweza kuiondoa CCM madarakani 2025

    Unaweza kumchagua unayemtaka ila akaja usiyemtaka, kikubwa watz tuwe na spirit ya kuingia road pale atakapokuja tusiyemtaka
  4. Kijana mwaminifu

    Kwa Nchi zinazojielewa Tozo zinaweza kuiondoa CCM madarakani 2025

    Unaweza kumchagua unayemtaka ila akaja usiyemtaka,kikubwa watanzania tuwe na spirit ya kuingia road pale atakapokuja tusiyemtaka
  5. Kijana mwaminifu

    Pascal Mayalla ukitaka kuchaguliwa wekeza kwa Wapiga kura , Viongozi hawatakusaidia chochote

    Nimejikuta nacheka kwa nguvu baada ya kumkumbuka Dem aliyekuwa anajitongozesha kwangu😅
  6. Kijana mwaminifu

    Mtoto wa Waziri Simbachawene kuburuzwa mahakamani

    Kumbe unamachukizo moyoni mwako kwa kukosa teuzi😂😂
  7. Kijana mwaminifu

    Chaguzi kabambe: 1995 Mkapa vs Mrema, 2005 Kikwete vs Mbowe, 2015 Maguful vs Lowassa, 2025 Samia vs ?

    2015 ni kikwete na mbowe kweli?au me ndo nachanganya mafaili
  8. Kijana mwaminifu

    Dar: Kutokana na Hali ngumu ya Uchumi Maduka Mengi yaanza kufungwa kwa kishindo

    Tanzania haiwezi kujitenga na Dunia,kama tu nchi tajiri za magharibi uchumi wake unashuka kwa Kasi ya farasi sisi ni ki nan?na kwa reserve gan tuliyonayo?badala ya kuilalamikia Serikali naomba utoe maoni nini kifanyike walau kunusuru Hali ya Maisha ya watanzania Nina Iman Serikali Iko hapa na...
  9. Kijana mwaminifu

    Huu ni wizi wa mchana kweupe

    Watanzania tuna shida mahali,tulifurahia kifo Cha mwendazake kashika rungu mwingine tunaona kama katuponda zaidi ya yule jamaa 😅
  10. Kijana mwaminifu

    Huu ni wizi wa mchana kweupe

    😂😂 Kilio ni katiba mpya au ni wanajamvi wanaohalalisha
  11. Kijana mwaminifu

    Miaka 10 maandalizi ya sensa lakini hadi sasa vifaa vya sensa hakuna. Hii ni aibu kwa taifa, aibu kwa Serikali

    Tuwekeni uzalendo mbele tusifanye kazi kwa maslahi aliskika mama mmoja top wa sensa akisema ivo
  12. Kijana mwaminifu

    Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

    Mwigulu kapendekeza tu wapo waliopitisha na hawezi kutoa kama wale hawajataka,tuendelee kujifukiza mpaka jamaa watake
  13. Kijana mwaminifu

    Huu ni wizi wa mchana kweupe

    Tuongeze volume au inatosha? Msimamo wetu ni ule ule tunakwenda na mama mpaka 2030
  14. Kijana mwaminifu

    Majira ya baridi ndiyo yataamua hatma ya vita ya Ukraine

    Upo sahihi japo Kila mtu ana calculations zake ila winter ndo final say
Back
Top Bottom