umenena mkuu.acha waongee tu kwa hisia
wanasingida tunajua tunaenda kufanya nn 2015,,,
m.misanga out.tunahtaj mtu makini ili jimbo lisonge mbele kimaendeleo
tupo wengi sana mkuu.chadema chama makini.kinakubalika na watu wa rika zote.ubishi ni hapa jf tuu.nje ya keyboard vijana,akina mama,hata na wazee wanaikubali chadema.
Mungu ibariki Chadema
Mungu ibariki Tanzania
chadema tunawamini bado,ila malizeni migogoro ili nguvu kubwa tumshambulie adui ccm.siyo kushambuliana sisi kwa sisi.napata shida kuamini!!vijijini kote hasa maeneo nayotoka chadema tunaikubali.mkombozi wetu.kwahyo kinachotakiwa kunganisha nguvu ili ukombozi wa pili uje mapema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.