Habari wakuu,
Nilipata likizo ya muda ila leo nimepamiss sana JF.
Haya sasa leo nimefika tu kazini asubui kwa kuchelewa nikagundua jumatano ya leo ni ya kipekee sana, yaani asubui tu tumeanza kupiga stori za maisha na mahusiano.
Tulianza kwa mabishano makubwa sana ila nikaja kukubali...
Habari za muda wakuu,
Leo nimefikisha anivessary ya miezi nane ya worst heartbreak, hadi nikapakumbuka JF:D
Nakumbuka kuna siku nilianzisha uzi hapa yaliyonikuta baada ya kudumu na mtu kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, itoshe kusema huu mwaka sitausahau
Kwa sasa nimemove on niko vizuri na...
Asante sana dear,
Najipa moyo sana maana kuna siku niliwahi kuandika pia mahusiano yangu yaliyodumu miaka 3 na baadaye akaniacha, baadaye kuna bestie yake alinambia kumbe alikuwa anaona aibu kuwa na mimi kisa muonekano wangu wa sura
Asante sana kwa ushauri, tayari nimeshahitimu chuo miaka mingi sana ila nime-share as an experience ambayo pia inawezekana wengine wameipitia au ndo wanaipitia bila kujua ni red-flag na and pia kujifunza kujiweka kipaumbele
Asante sana, nimemove on muda sana na leo nimeshare kama uelewa tu kwamba tuwe makini katika kuchagua watu wa kuwa nao karibu na pia unapoona red-flag jitathmini kama inafaa kwako kuimudu
Wanasema urafiki wa kweli hujengwa kwenye misingi ya kuaminiana, kusaidiana kwenye shida na kulindana dhidi ya jambo lolote linaloumiza. Lakini maisha yangu kama mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni yalikuja kunivuruga kabisa, na kunifanya nianze kujihoji:
Hivi kweli nahitaji watu maishani...
The tragic fire at Utumishi Girls’ Academy in Gilgil has left Kenya in deep mourning after claiming the lives of 16 innocent students and injuring 79 others. However, the grief rapidly shifted to profound shock and outrage across social media platforms following the release of CCTV footage. The...
Wakuu habari,
So nimerudi tena baada ya mazungumzo mengine marefu na rafiki yangu aliyeniita 'Toxic'
Wakati huu tulikua marafiki kadhaa wanaume kwa wanawake tukipiga stori hasa Ubingwa wa Arsenal na baadae mada ikafikia huku baada ya jamaa yetu mmoja kuuliza
"Hivi kwa nini wanawake mliamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.