Recent content by kiipwi

  1. kiipwi

    INAUZWA Changarawe for sale

    Mzigo huo, changarawe mahsusi kwa wachimba visima na wajenzi zinatumika kuweka floor ya tarazo na linta pia mzigo upo mwingi kama unahitaji nicheki inbox kwa maelezo zaidi na bei, nauza kwa piece na kwa kiroba kama unavyoona hapo
  2. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    [emoji23][emoji23][emoji23] nimekuwekea tayari na nitakupunguzia bei
  3. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    500,000/- tshs kabati ya vyombo
  4. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    1M kabati ya vyombo
  5. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    Sijaanza leo hii biashara, ingekuwa hivyo unavyosema ningerudi kijijini muda mrefu sana, najiamini na ndio maana hata wateja wangu ni watu wa kawaida sana ila wanapenda vitu vizuri
  6. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    Kosoa kama kuna ukweli, unafikiri ubora wa kazi unatokana na maneno? Nikuchaji pesa nyingi kwa quality mbovu? Ukiambiwa kitanda 1M unang'aka ukiambiwa laki tatu unusu unakubali, nani akutengenezee kitanda kizuri kwa laki 3.5 yako, nakulipulia tuu utajua mwenyewe mbele ya safari.. Tengeneza kitu...
  7. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    Umewahi kutazama vitu ninavyotengeneza au unaongelea mafundi kwa ujumla, ungewahi kuona hata kitu kimoja tuu nilichotengeneza ningeweza kukuelewa, finishing yangu ukiiona utasema ni ya hao unaowatukuza(wachina), tembea uone sio unaongea tuu. Njoo nikuoneshe bidhaa zangu sibahatishi najiamini na...
  8. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    Bei ya mbao imesimama kaka, naweza kukuambia mkongo halafu nikaweka mtondolo baadae ukaniona mimi tapeli..
  9. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    1.6M mkongo
  10. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    Mkongo, mninga, podo, MDF zote hizi zinatumika
  11. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    Una bundle huna hela [emoji4]
  12. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    Mfanya biashara haogopi audience wewe, kama huna hela piga kimya, unafikiri biashara nimeanza leo? Umeambiwa huku jf wote mko sawa? Kuna watu wana hela hawajui vitu vizuri wanavipata wapi!! Mimi natangaza, una hela nunua, huna kausha!!
  13. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    Karibu [emoji851]
  14. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    Inawezekana kweli hujawahi kukutana na vitu kama hivyo, njoo ujionee mwenyewe utakubaliana na hiyo bei
  15. kiipwi

    Samani za majumbani, na ofisini

    Hii hesabu sijawahi kukutana nayo
Back
Top Bottom