Recent content by kihere

  1. K

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Acha uongo wewe. Huyu Mboni ni Mkurugenzi wa Watoto Msaidizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto. Sie Mboni wa UVccm. Fanya Research yako vzr kabla ya kuchafua watu! (Huyo Mboni M. Mgaza (namba 2) ni msichana mmoja ***** kuliko maelezo, kazi yake kubwa umbeya na udaku kwenye...
  2. K

    Sherehe za Mei Mosi Tanga, JK mgeni rasmi

    Acha uongo wewe. Sherehe zimenoga sana. Na hapa tulipo, Uwanja wa Mkwakwani umefurika na hadi watu wamekaa ndani ya uwanja wa mpira! naona JF siku hizi imevamiwa na wapotoshaji wakubwa.
  3. K

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Safi sana JK. Tume imetulia, umejaribu kuchagua wawakilishi wa makundi mbalimbali...kazi kwa Tume kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi...hatutegemei mje na visingizio..mhe Rais ametimiza wajibu wake kuwateua...chapeni kazi ya kuratibu vyema mchakato huu muhimu ktk nchi yetu.
  4. K

    Je wajua????-CCM imeshika nafasi ya Tatu Udiwani Tanga

    Acha uongo wewe. CCM imeshika namba 2, CHADEMA hawana mtaji Tanga...Kwa taarifa yako, hiyo kata ilikuwa ni ya CUF... MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO: Waliojiandikisha: 8,504 Waliopiga kura: 2,040 Kura zilizoharibika: 13 Kura Halali 2,027 MATOKEO: CUF: 1,142 CCM: 714 CHADEMA: 170 UDP...
  5. K

    Je wajua????-CCM imeshika nafasi ya Tatu Udiwani Tanga

    acha uongo wewe. CCM imeshika namba 2, CHADEMA hawana mtaji Tanga...Kwa taarifa yako, hiyo kata ilikuwa ni ya CUF... MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO: Waliojiandikisha: 8,504 Waliopiga kura: 2,040 Kura zilizoharibika: 13 Kura Halali 2,027 MATOKEO: CUF: 1,142 CCM: 714 CHADEMA: 170 UDP: 0...
Back
Top Bottom