Recent content by kigwaza

  1. K

    Rais Kikwete aonya kuingiza dini katika siasa

    Wewe una nini mpaka uwaone waumini wa Gwajima ni malofa? Umeishiwa wewe, malofa wanawezaje kumwaga elfu kumi kumi? Unajitutumuuuua kupigana na Gwajima, selikali yako imemshindwa wewe utaweza?mwisho wa Siku utaishia kuwa muumini wake tu
  2. K

    Msije kunisaidia

    Pambana na nyuki kwanza ndo uipate Asali yake
  3. K

    Mali za Gwajima zaanikwa: Akisiwa Kuwa Mchungaji Tajiri Afrika!

    Tangu nyerere afe umewahi kuona kiongozi wa ccm alinda au kuheshimu kiapo? Au ndo kujitoa ufahamu, kiapo kwao si nikama kuropoka tu huku wanawaza vimada wao huku wanaapa
  4. K

    Mali za Gwajima zaanikwa: Akisiwa Kuwa Mchungaji Tajiri Afrika!

    Hapo bado hujatoa povu, utapasuka kabisa
  5. K

    Mali za Gwajima zaanikwa: Akisiwa Kuwa Mchungaji Tajiri Afrika!

    Sasa wewe unaetaka katiba ya kanisa ni mwangalizii,mkaguzi mkuu wa hesabu za Ufufuo na uzima,msaidizii,mzee wa kanisaa,mama askofu mkuu au ni nani?
  6. K

    Mali za Gwajima zaanikwa: Akisiwa Kuwa Mchungaji Tajiri Afrika!

    Wewe ni mwongo sana, mm nilikuwepo, hakulia kama unavyotaka kugeuza ukweli, nyie ccm ni waajabu sana mmezoea kugeuza ukweli kuwa uwongo na uwongo kuulazimisha uwe ukweli, Gwajima hajalia kama unavyo dai, unajua kulia wewe? Unapo ng'ang'ania alimlilia kikwete sikuelewi, alimu amuru rais aseme...
  7. K

    Mali za Gwajima zaanikwa: Akisiwa Kuwa Mchungaji Tajiri Afrika!

    Kama katoliki ni selikali basi katoliki ni pango la mashetani,maana selikali na dini havichangamani, katoliki ni shimo la kuzimu, sijui kwanini unajua kuwa katoliki ni selikali(kuzimu)halafu bado upo,sasa Gwajima ana Yesu ndani yake ambaye ameishinda mauti na kuzimu(katoliki) sasa mnashindana...
  8. K

    Mali za Gwajima zaanikwa: Akisiwa Kuwa Mchungaji Tajiri Afrika!

    Ni akili mbovu ya nyie ccm, mnakimbiza upepo, mnakimbiza jet kwa miguu, mlimpulizia sumu ila Jana amekuja ibadani anatembea vizuri na kukimbia, wakati waziri mkuu alimwandikia Meseji akimwambia kuwa hataamka kwenye kiti cha walemavu, amesema leteni sumu muwezavyo, leteni polisi muwezavyo ila...
  9. K

    Mali za Gwajima zaanikwa: Akisiwa Kuwa Mchungaji Tajiri Afrika!

    Mtasema yote mwaka huu na hamtopata nafuu
  10. K

    Mali za Gwajima zaanikwa: Akisiwa Kuwa Mchungaji Tajiri Afrika!

    Wewe akili hauna,mbona kikwete anauza madawa ya kulevya,? Alienda kumuokoa riz1 alipokamatwa China akawahonga wachina gesi,anahonga urithi tulio achiwa na baba zetu, kikwete kuuza unga Ni sawa,kikwete ndo mwanzilishi wa sakata la escrow na amehitimisha mwenyewe wewe hujui na kama unajua husemi...
  11. K

    Mali za Gwajima zaanikwa: Akisiwa Kuwa Mchungaji Tajiri Afrika!

    Wewe Ni ccm, una akili ya kichawi kweli, si Gwajima tu ila maelfu yote ya waumini wa Ufufuo na uzima Tanzania Ni marafiki wakubwa wa Dr. Slaa, na tutakuwa kinyume na ccm na selikali daima dumu kama tuta hakikisha kama mna muwinda Gwajima ili mumuue kwa hizo sababu zenu za kipumbavu, Gwajima hafi...
  12. K

    Mali za Gwajima zaanikwa: Akisiwa Kuwa Mchungaji Tajiri Afrika!

    Ni upuuzi na ujinga mtupu, Tangu lini Nyumba za ibada zikapeleka mapato na matumizi polisi? Mbona selikali inafanya vitu kama hawana ubongo? Kuingilia mapato na matumizi ya makanisa na misikiti Ni wazo ambalo hata teja hawezi kuwaza, tatizo tunaongozwa na wavuta unga, Makadilio yenu yote Ni...
Back
Top Bottom