Recent content by kigu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la sukari Rais wangu sikuungi mkono, uchumi ni kanuni siyo amri!

    Hivi ukiweka sukari yako godawni , ndio umeficha?....mtu kanunua sukari kiwandani tena kailipia kila kitu na risiti kapewa, hajaenda kuchukua sukari yake, mnasema kaficha? hivi mnaelewa maana ya kuficha kitu?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof Lipumba aizika ccm rasmi Lindi

    Kazi tu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof Lipumba aizika ccm rasmi Lindi

    Prof Lipumba, leo amefanya mkutano mkubwa lindi. Ame sisitiza wana lindi wasiichague ccm, kwasababu ccm ndio chanzo kwa watu wa kusini kuwa masikini... Prof amesisitiza wana lindi kuchagua vyama vinavyo unda ukawa kama mbadala wa ccm.... Amesisitiza hakuna kukubali kuibiwa kura tena...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof. Lipumba liwale, Mh. Mbowe Moro na Maalim Seif Dar, mziki mzito

    Ukawa ni mpango wa mungu...mh mbowe.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof. Lipumba liwale, Mh. Mbowe Moro na Maalim Seif Dar, mziki mzito

    KIAMA CHA CCM UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA. UKAWA kuchukua nchi 2015 Maalim Seif aendeleza mashambulizi mkoa wa Dar es Salaam, Mbowe yuko morogoro na CHOPA maCCM wanachanganyikiwa na fomesheni ya UKAWA. Prof Ibrahim Lipumba ateka kusini apiga mikutano 5 hadi 6 kwa siku ni kijiji kwa kijiji...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof Lipumba alivyo tikisa mkuranga, kilwa, na Newala wiki hii..

    Wewe ndio unatakiwa upewe pole, kwa kutojitambua....
  7. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof Lipumba alivyo tikisa mkuranga, kilwa, na Newala wiki hii..

    ukawa ni mpango wa mungu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof Lipumba alivyo tikisa mkuranga, kilwa, na Newala wiki hii..

    Prof Lipumba, yupo ktk ziara mikoa ya kusini, leo (saiv )anafanya mkutano mkubwa Newala..... Mkutano wa newala wa leo ulitanguliwa na mikutano ilofanyika mkuranga, rufiji na kilwa... Ktk mikutano yote prof anasisitiza watanzania waunge mkono UKAWA, Na waiangushe ccm, ktk chaguzi zinazo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Athari na faida za mashirikiano ya kisiasa ya (UKAWA) kwa siasa za Tanzania

    Kwani kunatofauti gani kati ya kuungana kwa lengo la kuitoa ccm, na kuungana kwa lengo la kumletea maendeleo mtanzania!!! kama ukitafakari vizuri tu, utaona kuwa hakuna tofauti.... Huwezi ukawa na mpango wakuwaletea watanzania maendeleo, halafu ukawa unataka ccm iendelee kubaki madarakani!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof. Lipumba kuifuta CCM Mtwara

    Acha uongo. Nenda kachukue book 7, yako lumumba, kwa kuropoka humu jf... Kama unaona maisha magumu anza kubeti ktk ligi ya FA, au UEFA, kama baadhi ya vijana wenzako!! Kuliko kufanya kazi hio, mwenyewe unaamini eti unamdhalilisha prof Lipumba... bet mipira na wewe!!, ndio ajira mpya hizo za...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof. Lipumba kuifuta CCM Mtwara

    Nia tunayo na mipango tunayo... Jukumu lako ni.kuunga mkono tu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof. Lipumba kuifuta CCM Mtwara

    Prof Ibrahim Lipumba ATANGAZA "OPERATIONI DELETE CCM 2015" TUTASIMAMISHA MGOMBE MOJA WA UDIWANI, UBUNGE NA URAIS- Prof Ibrahim Lipumba amese UKAWA wanaendele na majadiliano na tayari kunamafanikio makubwa ili kusimamisha mgombea moja kwa kila ngani kuanzia udiwani, ubunge na urais 2015. "CCM...
  13. K

    JamiiForums Tanzania CUF kuiteketeza CCM Mikoa ya Kusini.

    Imekaa safi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ni extra ordinary

    Kikwete ni kigeugeu... mtu atakaemuamini kikwete ktk maneno yake, atakuwa ni mtu wa ajabu sana....
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dr.Sheiin unazeeka vibaya

    Sheni ameamua kuwasaliti wananchi wake...
Back
Top Bottom