Unampongeza vipi waziri mkuu wa SAUT wakati ameshindwa kumtreat Rais wake hadi akasaliti chama?Aibu iriyoje kwa Rais aliyechaguliwa kwa nguvu ya M4C kugeuka gamba tena kabla ya muda wake kuisha halafu unampongeza PM wake? Huyu PM kama ni mwanahalakati kweli angeanza na Rais wake kabla hajatoa...
Tunaomba udhibitisho wa hili mkuu? Huyo ndugu wa Sadick aliugua siku ya uchaguzi tu? Na pia kwanini alipoingia ndani Chakushemeire nae aliitwa na alipotoka alikataa kusema alichoitiwa? Na kwanini aache hospitali tele Dar ampeleke ndugu yake Bugando?
Ili kuendeleza hila zao za kuendelea kuitumia TAHLISO kama sehemu yao yaq kujificha na kuendeleza kukandamiza wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini, serikalio ya CCM ilifanya kila juhudi kuhakikisha inashinda uchaguzi huo.. Kwanza viongozi tulioenda kwenye uchaguzi Mwanza tulifukuzwa chuo...
Ili kuendeleza hila zao za kuendelea kuitumia TAHLISO kama sehemu yao yaq kujificha na kuendeleza kukandamiza wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini, serikalio ya CCM ilifanya kila juhudi kuhakikisha inashinda uchaguzi huo..
Kwanza viongozi tulioenda kwenye uchaguzi Mwanza tulifukuzwa chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.