Recent content by kigoma ndio kwetu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Leo ndiyo Tarehe waliotuahidi helsb ya kukata rufaa.

    haya bana kawaida ya binadam hua hatukumbuki nyuma leo kutu watu wanatoa kauli za ajabu sna kisa wao wamepata loan!!! ushauri kwa wenzangu km loan imekosekana na uwezo wa home ni km wa kwangu yaani tiamaji tiaji airisha mwaka tuuu!!! vyuo vpo!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya bodi ya mikopo kwa continuing students ambao hapo awali walikosa mikopo.

    mi nashindwa kuelewa kabisa hawa watu wanatufanyia nn sie kwa kutunyima mikopo ikiwa wao walipewa!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

    mi nashindwa kuwaelewa kabisa hawa jamaa waliopewa usimamiaji wa suala zima la mikopo ya elim ya juu!! wameweka majina then wameyatoa na siku zmeisha kwa nini wanawasumbua watu km mmeshindwa mjiuzulu!!! mtu kapata chuo then wamnyima mkopo so atasomaje ikiwa kasomea shule za kata!! huo ni ubaguzi...
Back
Top Bottom