Recent content by KIGOMA-MANYOVU

  1. K

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Bwana Muhungu najua hutaki kusikia jema au zuri alilofanya mh. rais katika taifa hili, hata hivyo ujue kuwa hata usipotaka kusikia, basi utasikia kwa kelele za watanzania walio wazalendo. Swala la kuwa na hela mfukoni ni subjective! wapo watanzania wana hela mifukoni na wengi wao ni wale wenye...
  2. K

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    JANA NILIANDIKA HAPA, HUYU ANAE SUPPORT WATU WASIO NA HESHIMA KWA VIONGOZI WETU HAFAI HATA KUWA MWENYEKITI WA BOARD YA CHUO KWASABABU HATAKI KUUNGA MKONO UZALENDO NA KAZI ZILIZO TUKUKA AMBAZO MH. RAISI AMEZIFANYA KWA MDA MFUPI ALIO KAA MADARAKANI, BAADHI YA KAZI HIZO NI ELIMU BURE, RELI YA...
  3. K

    Prof. Mwandosya: Hongera Mhe.Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kuhitimu chuo cha uanasiasa

    nashauri huyu mzee aiache serikali ifanye kazi,badala ya kuanza kuizodoa, sugu ni raia kama alivyo raia mwingine, kwahiyo ieleweke kuwa magereza siyo ya walala hoi tu.hata kiongozi ukivunja sheria yanakuhusu, hapo halkuna shule ya siasa wala nini, message kubwa hapa nikufuata sheria na si...
  4. K

    Hawa wanatamani Rais Magufuli asifike 2020

    nikweli Huyu Rais anastahili pongezi sana, na watanzania tujivunie na kumuunga mkono Rais wetu, ila bado kuna watumishi wa serikali ambao bado hawajabadilika hasa wanao ongoza baadhi ya Taasisi, mfano kuna jamaa yangu aliniambia anako fanya kazi mkuu wa hiyo taasisi anachukuwa posho mfano ya...
  5. K

    Kutokuwa Magufuli ni sifa tosha ya kushinda uchaguzi 2020

    Acha upuuzi we Paul Alex, hayo unayo yasema sikweli hata kidogo, wale watu wanao fanya kazi halali, na walio kuwa wanafanya kazi bila kutegenea hela za wauza unga au wapiga dili serikalini maisha yako vizuri tu, na hao ndo wengi zaidi ambao hawana shida na biashara zao, shida kubwa inawezekana...
  6. K

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    wewe unajua maana ya demokrasia? political scientists hawana definition moja ya democracy, na kiukweli demcrasia haina maana ya kuruhusu kiholela mihadhara ya kisiasa, hata USA sasa hivi serikali iliyoko madarakanindo inafanya kazi, uhuru wa habari sijaona ulipo binywa kwasababu tv, magazeti...
  7. K

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Wewe Abudist acha upumbavu na wenda wazimu, wewe ni kati ya wafaidika wa ufisadi, madawa ya kulevya au basi ni CDM AU CUF, KATIKA MARAIS ambao tanzania imepata wazuri na wazalendo ni Mh.Magufuli. kuna mengi ambayo amefanya makubwa tu, angalia shirika la ndege, angalia huduma za afya, elimu na...
  8. K

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Wewe Abudist acha upumbavu na wenda wazimu, wewe ni kati ya wafaidika wa ufisadi, madawa ya kulevya au basi ni CDM AU CUF, KATIKA MARAIS ambao tanzania imepata wazuri na wazalendo ni Mh.Magufuli. kuna mengi ambayo amefanya makubwa tu, angalia shirika la ndege, angalia huduma za afya, elimu na...
  9. K

    Mwigulu alilazimishwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani?

    KATIKA MAWAZIRI AMBAO SIWAELEWI NI HUYU, YAANI YUPOYUPO TU, HATA WIZARA YA KILIMO ILIKUA HIVYOHIVYO, YAANI MH. JPM ANGEKUWA NA MAWAZIRI 9 KAMA YEYE ANAVYO HAKIKISHA MAMBO YANAKWENDA NCHI HII INGEKUWA MBALI, KUNA MAWAZIRI WANAFANYA KAZI MFANO LUKUVI, MBALAWA, NDALICHAKO, UMMY,MUHONGO,NA MPANGO...
  10. K

    Tetesi: Mh. Mwigulu aligoma kutaja majina ya Wauza Madawa, ikabidi apewe Makonda

    anaujasiri gani??? au ni unafiki tu, Kimsingi hakuna ujasiri wowote kwenye hili, naona ni unafiki tu ndo umemjaa yule jamaa.nampongeza sana makonda amejitahidi sana kunusuru kizazi hiki. mtu mnafiki hata angepewa wizara gani hakuna kinachoonekana akifanya. alikuwa kiliomo sijaona na hata leo...
  11. K

    Lissu amwandikia barua Magufuli kuonana naye kujitambulisha kama Rais wa TLS- Ikulu

    Ningekuwa mie rais ningekataa, maana naona hakuna la maana analokwenda kumshauri rais. Et nae anatetea wizi wa madini yetu kwa kupeleka mchanga nje, ni huyuhuyu anae tetea wauza unga kama akina Ikael, Sepedu,
  12. K

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    bndali una uhakika?? au nawewe unaungana na wauza unga kutaka kudhoofisha juhudi za MH. JPM na Makonda za kupambana na wauza unga?
  13. K

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    hata mimi natamani makonda apandishwe cheo ili wauza unga wasipate nafasi ya kupoteza focus, naona wamemwandama sana, mbona kabla hawajatajwa kwenye unga hawakuyasema hayo. Makonda Mungu yuko na wewe na atakulinda pamoja na mh. RAIS, vita hii si nyepesi hata kidogo, naona kuna baadhi ya mawaziri...
  14. K

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Kwanini haya hayakusemwaa kabla gwajima haja tajwa kwenye sakata la wauza unga?? wuza unga wana njia nyingi za kukwamisha juhudi za kupambana na mihadarati. sasa hivi wanataka kupoteza focus, pia kuyumbisha serikali ili wasishughulikiwe. Mimi namuombea makonda apandishwe hata cheo ili wuza...
  15. K

    Shinyanga: Hotuba ya Rais Magufuli uwanja wa Kambarage

    Mangwela JR acha upupu, naona nawewe umenunuliwa na wana siasa na wafanya biashara, haya endelea kupoteza mda,swala la ndege kwa uchummi wa viwanda haliepukiki,
Back
Top Bottom