British Students Robbed By Gunmen In Tanzania
The students were on an expedition when they had money and valuables taken by the gang, leaving them "shaken" but unhurt.5:03pm UK, Friday 23 August 2013
The Kent school says the students' ordeal will not stop trips to Tanzania
Email...
Hili ndio tatizo kubwa sana la zitto and that's why I hate him. Kashindwa kabisa kuijenga cdm japokuwa watu wa kigoma wanataka sana mabadiliko and they real want chadema. Unajua ni kwanini zitto hajishughulishi ni kwa sababu anajua akifanya aggressive compain atafanya vijana wake waliopo nccr...
Tanzaia Daima limetimiza wajibu wake kuwahoji watuhumiwa nini kiliwatokea. Mtuhumiwa kafunguka kaelezea mkanda mzima jinsi alivyokamatwa na kuteswa na polisi na pia watu waliohusika na mpango huo. Mimi nadhani ni bora wote waliotajwa wajibu tuhuma kwasababu kama gazeti limetimiza wajibu wake na...
My point is why Waziri mkuu alimwambia Ngereja akaombe ushauri kwa Sitta? who was Mr. Sitta by the way? Sitta hakua waziri wa nishati wala raisi he is just a minister kama mawaziri wengine. hii inathibitisha kwamba hata MP nae hakua na confidence ndio maana akataka sitta ndio aamue.
BY EDITOR - THE GUARDIAN TZ
7th July 2013
On March 15, 2009, The Guardian on Sunday published a front page story headlined, "What transpired", in which we reported in clear terms that the proposal to buy the Dowans power generating plants wasn't initiated by Kigoma North Member of Parliament...
Biashara ya watu anakutafutia visa na kwa foreiner anakutafutia all the documents kwamba wewe ni raia wa tanzania anatengeneza mchongo na watu wa migration na ubalozi then unapewa visa. hasa hasa visa za shengen. jamaa ni full taperi we acha tuu ulizia mitaa ya kisutu au samora pale nyuma ya...
Huwa nina sikitika sana ninapoona nchi hii haifanyi vetting during the recruitment. huyu mbunge wa ccm hafai kabisa kuwa mbunge wa kiongozi wa nchi katika idara yoyote. Murtaza alikua taperi sana hapa mjini akitoa visa feki na vyeti feki ofisi yake ikiwa karibu na mitaa ya kisutu stand ya zamani...
Lakini hapa kasema chama ni zaidi ya slaa na zitto. MBONA NYIE mnafikiria ana biff na zitto wakati yupo very straight and open kwamba chamba ni zaidi ya slaa na zitto.
Idiot! you need to grow, whats is the issue here? the reporter or itv? just take a messege kwamba padri amepigwa risasi na hali yake ni mbaya kakimbizwa hosptali. Watanzania mnamatatizo sana u dont read the contents rather mnakimbilia mambo yasikua na maana. shame on you idiot.
That's chap chap media hawana weredi hata kidogo. They luck professionalism hawana contents kwenye habari zao. We sikiliza kuanzaia asubuhi mpaka usiku ndio utajua Clouds hawana contents ni full upuuzi ila jamii ya Kitanzania ndio inapenda kuambiwa upuuzi kama wa Clouds.
Ndio maana hawajatoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.