Recent content by kifukumkunyi

  1. K

    PostGE2025 Godbelss Lema: ACT ni chama kilichopoteza heshima kutokana na uongo wake na kushiriki uchaguzi Oktoba 29

    Ndio ukaona CCM na TISS wanavotuchanganya, wanatugombanisha ili waendelee na dhuluma yao.
  2. K

    Tume ya uchaguzi wa Tanzania iongozwe na watu wazito toka Marekani na Ulaya tu

    Hili jambo niliwaeleza viongozi wa juu wa CUF baada ya uchaguzi wa mwanzo wa vyama vingi 1996 nilimueleza Maalum na viongozi wenzake Kwa wasikubali kushiriki katika uchaguzi wowote bila ya kuwepo tume ya kimataifa na katika tume hiyo asiweko mtu yeyote kutoka Afrika , kama vyama vyote vikubwa...
  3. K

    TANZIA Watoto wawili wa familia moja wafariki wakiogelea kwenye Swimming Pool Arusha

    Tena wote wawili? Hilo eneo hamna msimamizi wa hilo bwawa?
  4. K

    Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

    Chakushangaza nikwamba yeye yupo hapo kutokana kifo cha mkubwa wake, jee na yeye hafikirii kwamba kuna kifo? Unaambiwa muogope mtu asiyemuogopa Mungu.
  5. K

    GE2025 Polepole amezungumzia suala nyeti sana kuhusu Makamu Rais Mpango na Waziri Mkuu kutokuendelea na Uongozi Serikalini

    Kama utakumbuka kwamba Mipango na Majaaliwa wote hapo baada ya Magufuli kufariki walikuwemo katika mpago wa kumpinduwa mama , Kwahiyo mama alipoapishwa kuwa Raisi akashauriwa hao Jamaa awache tu kama walivyo ili isije ikaleta mpasuko Kwa wakati ule, kwavile makamo wa raisi hana kazi kubwa na...
  6. K

    GE2025 Humphrey Polepole: Kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu, au Makamu wa Rais hutakiwi kugombea urais

    Mzee Idrisa Abdulwakil alikuwa Spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar na CCM wakati wa Mwalinu walimpitusha kugombea uraisi Zanzibar, jee hii Polepole amesahau
  7. K

    Kuna mpinzani au mkosoaji yeyote aliwahi kutekwa, kupotea au kuuwawa katika utawala wa Nyerere?

    Wako wengi sana, nitakupa wawili tu kifo cha Mzee Karume kinahusishwa na yeye na Mzee Jumbe aliwekwa house arrest mpaka alipokufa
  8. K

    PreGE2025 Askofu Gwajima ajibu mapigo. Asema Gwajimanization ni kusema ukweli hata kama hauwapendezi walioko madarakani

    Gwajima amesahau kwamba yeye mwenyewe amedhulumu hali za watu anaelewa kwamba huo ubunge hakushinda , halafu anajifanya mtu wa Mungu
  9. K

    Katika yote hatupaswi kusahau aliyetufikisha hapa tulipo sasa

    Mimi nahisi sio jiwe, kosa nila Mzee wa Msonga .
  10. K

    PreGE2025 VIDEO: Ona Vikao vya CCM vinavyoendeshwa utapenda

    Hata sisi tungekuwa na pesa za serikali tungefanya vikao vizuri Kuliko vyenu
  11. K

    Usipokuwa Rais huwezi kuwa Mwenyekiti wa CCM!!??

    Kumbuka kwamba CHAMA kinashika HATAMU, jee unajuwa maana ya HATAMU? ukishajuwa maana ya hilo neno utaelewa ni kwanini Raisi wa Jamhuri lazima awe mwekiti .....
  12. K

    Maridhiano yanayoendelea ni hadaa kwa Taifa. Vyama vijitoe kabla havijakaangwa

    Chadema wajifunze Zanzibar tokea mwaka 1995 kila baada ya uchaguzi kunafanyika maridhiano na wanaohitaji maridhiano ni wapinzani sio CCM . Hizo ndio mbinu za CCM kupoteza malengo ya wapinzani na kupoteza muda. Bila ya katiba mpya na tume huru upinzani hauwezi kufanikiwa. Mimi niliwahi kupiga...
Back
Top Bottom