Recent content by Kifanya 2021

  1. Kifanya 2021

    JamiiForums Tanzania Huu ndio mmea unaotibu vidonda vya tumbo. Naombeni msaada?

    Wakuu kwema? Jamani naombeni mnifahamishe huu ndio mmea unaotibu vidonda vya tumbo?
  2. Kifanya 2021

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mmea huu

    Jamani ndio hili au ni jingine
  3. Kifanya 2021

    JamiiForums Tanzania Jamani kwenye uelewa na hii kampuni anisaidie "RAISE YOURSELF TO HELP MANKIND(RYTHM)" Foundation

    Jamani kama heading inavyojieleza hapo juu, mwenye kuijua vyema hii kampuni/ foundation anielekeze vizuri. Asanteni
  4. Kifanya 2021

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani ya ajabu uliyowahi kuyafanya sababu ya mapenzi?

    Daah ulitisha mzee baba, inaonesha ulikuwa bado mdogo na hukuwafahamu vizuri hawa viumbe
  5. Kifanya 2021

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hana wivu na mimi wala hayuko 'romantic' nifanyaje?

    Daah brother ujue hadi naogopa upendo gani wa design hiyo. Cha ajabu haniombi pesa yeye anataka tuwe tu wote
  6. Kifanya 2021

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hana wivu na mimi wala hayuko 'romantic' nifanyaje?

    Pesa haombi. In fact siyo gold digger
  7. Kifanya 2021

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hana wivu na mimi wala hayuko 'romantic' nifanyaje?

    Fafanua aise, sijakuelewa kabisa
  8. Kifanya 2021

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hana wivu na mimi wala hayuko 'romantic' nifanyaje?

    Jamani kama nilivyotangulia kusema hapo juu kwenye heading, naombeni Ushauri wenu kwenye Hili. Iko hivi nina mpenzi wangu ambaye tuna mda wa miezi 6+ kwenye mahusiano, japo tumekua karibu tangu 2020...
Back
Top Bottom