Recent content by KIEMBE

  1. K

    Dagaa safi toka Bukoba rasmi wanapatikana

    Wale wanaohitaji dagaa wa Bukoba wasio na mchanga tayari wamewasili,wanapatikana eneo la taliani Kama unaelekea chanika bei yetu ni shilling 7500/= kwa kilo. Karibuni Sana
  2. K

    Jipatie Dagaa wasio na mchanga kutoka Bukoba

    Hahah hufiki Chanika kaka sema Ni njia ya kuelekea huko lakni pia Chanika sio ya miaka ile.... Ila tuwasiliane ili mzigo tuone tunafanyaje takupunguzia hata bei kufidia usafiri... Karibu Sana kaka Mzigo Jumatano itakua imefika, Tayar na oda mbalimbali nakaribisha oda yako pia
  3. K

    Jipatie Dagaa wasio na mchanga kutoka Bukoba

    Pata Dagaa safi na wasio na mchanga toka bukoba,Tunapatika kituo cha Taliani Kama unaelekea Chanika Jijini Dar es salaam.... Bei ya kilo moja ni shilling 8000/= kwa mawasiliano zaidi piga namba 0713847985 au 0769308154...!Karibuni Sana..!
  4. K

    Dagaa safi na bora toka Bukoba.

    Hao Dagaa mkubwa, kwani we hujui Dagaa ninini??
  5. K

    Dagaa safi na bora toka Bukoba.

    Karibu sana
  6. K

    Dagaa safi na bora toka Bukoba.

    Kaka Ndo vitu gani hvyo, mzigo huo njoo uone mwenyewe kaka
  7. K

    Dagaa safi na bora toka Bukoba.

    Habari ya majukumu wanaJF haya sasa wale dagaa safi toka bukoba wasio na mchanga watawasili wiki hii kabla ya ijumaa, napokea oda zenu kupitia namba zifuatazo 769308154,0713847985 tunapatikana eneo la taliani njia ya kwenda Chanika Jijini Dar es salaam,Bei ya kilo Ni 8000/=
  8. K

    Dagaa safi toka Bukoba

    Asante
  9. K

    Dagaa safi toka Bukoba

    Karibuni Sana, Mzigo utaingia wiki ijayo kwahiyo tutawataarifu pia, Tayar Nimepokea oda sio mbaya ukanipa oda yako
  10. K

    Dagaa safi toka Bukoba

    Habari Wana JF. Nimefungua store ya kuuzaa dagaa Jijini Dar es salaam katika eneo la taliani kama unaelekea chanika. Dagaa hawa ni wazuri weupe na hawana mchanga, natarajia kuingiza mzigo hv karibuni!! Kama unahitaji mawasiliano zaidi nitafute 0769308154 au 0713847985 tuzungumze.
  11. K

    Dagaa toka Bukoba

    Habari Wana JF. Nimefungua store ya kuuzaa dagaa Jijini Dar es salaam katika eneo la taliani kama unaelekea chanika. Dagaa hawa ni wazuri weupe na hawana mchanga, natarajia kuingiza mzigo hv karibuni!! kama unahitaji mawasiliano zaidi nitafute 0769308154 au 0713847985 tuzungumze.
  12. K

    Fursa kwa wafanyabiashara ya mahindi

    Nam na idea kama yako swal mashine ilikughalim shilling ngap tupe mchanganuo
  13. K

    Namna gani ninaweza kumpata wakala wa Hisa za Acacia

    Habari za majukumu wana Jamvi. Naomba niulize kwa mwenye kufahamu jinsi ya kuwasiliana na wakala anaetambulika na DSE yaani Dar es Salaam Stock exchange kwa jinsi ya namna ya kununua hisa. Asanteni!
  14. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi Mwalimu Almas Rwamiye wa kituo cha kazi Mfuru Secondary iliyopo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani naomba kubadilishana kituo na Mwalimu yoyote wa secondary kutoka wilaya ya Ilala Dar es Salaam na Manispaa ya Morogoro Mjini kwa mawasiliano zaidi tuwasiline kwa namba zangu...
Back
Top Bottom