Recent content by Kidya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini UDOM wamepandisha Direct Cost?

    wamebuni source of income kwa kumbana mtoto wa mkulima,dah! Wana udom poleni sana hii ndio Tz kisiwa cha amani.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ada mpya vyuo vya ualimu

    Wakuu serikali iliongeza ada vyuo vya ualimu maradufu kama ifuatavyo;cheti 300,000/=,stashahada masomo ya sanaa 400,000/=,stashada masomo ya sayansi 600,000/= source:mwanainchi july 28. Je stashahada ya awali watalipa sh ngapi?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chuo cha uwalimu Tukuyu hakijapangiwa wanafunzi ?

    Wadau wa elimu chuo cha ualimu Tukuyu hakijapangiwa wanafunzi. Nahisi kimewekwa kando kusubiri watakao chaguliwa diploma ngazi ya sec, au cheti primary level. Mwenye taarifa za kina atujuze.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Important Notice: UDOM direct cost 2014/2015

    Udom wamebuni source of income,mtoto wa mkulima azidi kubanwa,chuo kimekuwa second private institute.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tunaoenda katoke Teacher's Colage

    pamoja sana,tutapeana taarifa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Mkuu walio omba ngazi ya cheti wamechaguliwa stashahada elimu ya awali.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Stashahada elimu ya awali

    Wadau wa elimu, serikali kwa mara ya kwanza imechagua walimu kibao kusomea stashahada elimu ya awali, je waliochaguliwa ni div iv? Watasoma miaka mingapi? Wataajiriwa na serikali? Kwani shule za msingi zina madarasa ya awali? Mimi najua pre primary school ni private tu. NAOMBA NIJUZE.
  8. K

    JamiiForums Tanzania NACTE wanatoa lini post za vyuo?

    Andaa ada post ztakuwa hewani soon mwez wa 9.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naweza kuomba chuo gani kwa alama hizi

    bainisha dv iv ipi 2012 kurud nyuma ama hii "brainwashing"ilioanza 2013.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wa upe waheshimiwe, wametoa maprofesa kibao

    Mkuu "heshima" ni dhana pana inajumuisha vyeo,mishahara yenye tija n.k
  11. K

    JamiiForums Tanzania Walioondolewa kupisha mgodi wa Geita walia kukosa tendo la ndoa!

    Duh hii ndio tz! eti democratic state.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Mkuu siasa inahusika,wizara ijifunze kilichotokea immigration (constebo na koplo)
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Ndugu,zoezi la kuchagua wanaf wenye sifa ni zito maana wizara kwa mwaka 2014/2015 ilinyumbua na kupata categories nyingi tofauti na miaka ya nyuma,huenda hali hii imefanya mchakato kuchelewa.mswahil anasema haraka haraka haina baraka LAKINI ngojangoja yaumiza matumbo,nina imani na serikali...
Back
Top Bottom