Recent content by kidunula1

  1. kidunula1

    Kuna siri gani kati ya jezi iliyoandikwa Crefisa na Wadada?

    [emoji16][emoji16]Hilo nalo jambo
  2. kidunula1

    kero: mgeni kutoka kijijini simu yake inaita ita hovyo.

    Atakuwa msukuma nini!? Mana wasukuma masimu yao Huwa mabaya na Ili afurahie MATUMIZI ya Simu sharti ringtone iwe kubwa. Na akipokea anata watu wote waliopo eneo alilopo watambue kama anaongea na mtu Kwa kutumia Simu hivyo anaongea Kwa sauti ya juu sana. Hapo ataongea kiswahili, kisukuma na...
  3. kidunula1

    Kuna siri gani kati ya jezi iliyoandikwa Crefisa na Wadada?

    Wakuu nimevumilia nimechoka! Kuna Siri Gani kati ya jezi iliyoandikwa CREFISA na watoto wa kike? Au ninyi wenzangu huko mliko hamkutani nao? Najua na vijana wa kiume wanavaa ila sijawahi ona jezi iliyowahi pendwa na vijana wa kike kama hii
  4. kidunula1

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

    Moloko ana Work rate kubwa kuliko Chico[emoji3],hapo kila mmoja ana faida na udhaifu wake. Ukiniuliza naondoka na nani nabeba zangu Moloko tunasonga. So far Chico ni talented player!
  5. kidunula1

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

    Vipi Lukaku ndani ya Man U na yule aloenda Inter hadi Chelsea wakamuona tena baada ya kumkacha miaka mingi kabla hajaja kufeli tena? Huku Man U alionekana ameshindwa. Alipoenda Inter akawa balaa, Chelsea wakamnunua kutokana na moto aloonyesha Inter, na sasa inaonyesha kafeli tena na Inter...
  6. kidunula1

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

    Huyo jamaa naamini anakuja kufufuka! Na ni mshambuliaji mzuri sana. Angalia ktk hiyo misimu miwili alofunga goli 2 kwenye klabu, timu ya taifa kafunga ngapi?
  7. kidunula1

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

    Orlando wana wachezaji wazuri kuliko Mamelody? Mbona Miqiussone alishindwa kufurukuta? Na kule Ahly mbona kashindwa kifurukuta ilihali anazungukwa na wachezaji wazuri tupu? Huku Simba si aliwika hadi Ahly wakamuona? Mpira hauko hivyo, na kumbuka hao wasauzi walimuona akiwa top player ktk ligi ya...
  8. kidunula1

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

    Angalau Yanga naaini wamemsajili Ki Aziz ambaye ni top player Wa Asec na umri bado unadai. Hapa wameonyesha dhana ya uwekezaji
  9. kidunula1

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

    Hivi wakati Miquissone anakuja kwenu si alikiwa kaachwa na Mamelody?
  10. kidunula1

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

    Tunaamini Kambole Wa Zesco atarudi, Pia tunaamini Orlando wameshindwa kumtumia kama mlivyoshindwa kumtumia Morrison
  11. kidunula1

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

    Kwani Mimi nimesema ni mchezaji Wa Makolo?
  12. kidunula1

    Ni kweli kwamba watumishi wasiopitishia mishahara yao benki ya CRDB hawana nafasi ya mikopo katika benki hiyo?

    Nimeenda kutaka kuchukua mkopo Wa milioni 10 kwa miaka 2 wakaniambia mkononi nitapata milioni 9 na laki 3+ nimeshangaa sana nikauliza mchanganuo ukoje jamaa akaniandikia hivi; 1. Gharama 184000 2. Insurance laki na 60+ 3. CRDB 340785.077 sasa kwa ninyi wazoefu Wa huko Crdb hicho kipengele cha 3...
Back
Top Bottom