Kama umefuatilia michezo yote aliyocheza Senegal katika kundi lake la kufuzu AFCON utawaona sio wazuri kihivyo kama watu wanavyowapa nafasi . Mpira ni dakika 90 naimani Taifa Stars watatoka na matokeo mazur
Sawa labda na wewe ni mmoja wa wapendwa wa wengi huko Ulaya . Mpendwa wako Lissu ameongea wazi wazi kuwa yeye ni Pro - Ushoga . Ila sisi Watanzania tuliolelewa katika malezi tukuka hatuwezi kukubali Watanzania wachahe waliojiunga katika kikundi kiitwacho CHADEMA kutuletea tabia mbaya za kishoga...
Mimi naona wewe ndo unataka kulazimisha tuamini unachokiamini . Sio kificho wala sio siri clips zote alizoongea Lissu zipo mitandaoni na hakuna hata mtu mmoja mwenye hekima na busara zake anayekubaliana na porojo anazoongea . Sasa kwa suala la kwenda CCN na Al Jazeera ni kwenda kujizika kisiasa...
Ha ha ha aende tu akaongee maana hakuna jipya atakaloongea zaidi ya zile pumba alizoongea BBC . Yaani kama hiyo ndo strategy ya CHADEMA ya kumtumia Lissu kuichafua TANZANIA basi watafute mtu mwingine
Kwa kweli hapo mzee wangu Assad amevurunda , maana kwa busara na hekima hayo yalikuwa niya kumfuata spika na kumwqmbia hayo , lakini hatua aliyoichukua kuongea kwenye vyombo vya habari halikuwa ni jambo la busara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.