Recent content by Kiduila

  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO TANGA UWASA, tupeni maji hamuogopi hata ujio wa Rais?

    Kwa kweli shida ya maji ni kubwa, hasa huku Pembezoni mwa Jiji la Tanga, sijui tatizo nini?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Angalia necta
  3. K

    JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Mpeleke Forest Hill Morogoro
  4. K

    JamiiForums Tanzania Buriani Ahmed Rajab

    Naam, nilijua Kwa hakika kabisa nitapata kitu kipya ukimueleza Shekh Ahmed, Akhsante sana Shekh Said. Sijui nani atakae kuelezea wewe Kwa watakaobaki siku Allah akikuchukua! Maana una hazina nyingi, si haba. Namuomba Allah akupe mwisho mwema, na sisi pia.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maktaba ya CCM Dodoma

    Shekh Said sijaona Tanzia ya Ahmed Rajab, huna lolote la kumzungumzia Ahmed?
  6. K

    JamiiForums Tanzania BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    Kwa programs hizo unaweza kuchukua coordinates Kisha ukajua eneo kama lina milikiwa au laa?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Kwa kufuatilia michango kwenye Uzi huu na sehemu zingine nimegundua si Wasiokuwa Waislam tu (Wakristo) bali hata Waislam baadhi yao (wengi tu) hawaujui Uislam, ila kwa masikitiko makubwa wapo mbele mbele kuusemea Uislam. Kwa mfano juu hapo kuna mchangiaji moja (Muislam) anatoa dalili kufaa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Imani/dini zimejengwa katika misingi ya Ahadi na Vitisho..?

    Siku hizi humu JF kumekuwa na ongezeko kubwa la watu (hasa vijana) kutuhumu Dini kuwa hazina umuhimu wowote katika maisha, na nimekuwa nikipitia michango mingi ikishajiisha watu wengine wakubali pia kuwa kufuata Dini ni upunguani na kuwa nyuma ya wakati. Lakini pia Kwa tathmini niliyoifanya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    Mr. Kwayu alikuja Azania nafikiri 1992, second alikuwa Meja, Alhamdulillah it was very good time
  10. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

    Innaa lillahi wa innaaa ilaihi raajiuun, Allah ampe kauli thabit.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mabasi ya kwenda Mbogwe - Geita

    Utashuka Masumbwe, maana ndiyo ipo njia kuu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Makubi afanya kikao cha kimkakati na Madaktari Bingwa/bobezi ndani ya MOI

    Mimi maoni yangu wawe waadilifu, nilikuwa na mgonjwa wangu hapo Muhimbili (sio MOI) alipofariki dawa zilizobaki hatukuziona!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    Niliwahi kumsikia Shekh mmoja anasema walikuwa na kikao Cha pamoja na Mapadri, basi wakaambizana kila Dini (Waislam na Wakristo) waseme chochote kizuri kuhusu Dini nyingine. Waislam wakasema uzuri ktk Ukristo ni wafuasi wao wanavyo watii viongozi wao, ni watiifu sana. Na Wakristo wao wakasema...
  14. K

    JamiiForums Tanzania What happened to our 767-300 freighter promised to arrive in the country April 2023?

    I was about to ask the question, we're waiting for it anxiously
  15. K

    JamiiForums Tanzania Aliyetumia Silent Ocean - naomba msaada wa ufafanuzi

    +255746813813 wapigie namba hiyo hapo
Back
Top Bottom