Jumuiya ya umoja wa vijana WA CCM Wilaya ya Iramba mkoani singida Imemtumia salamu aliyekuwa mwanachama wa CCM Bernard Membe na baadae kufukukuzwa uanachama na Kamati Kuu.
Jumuiya hii kupitia kwa mwenyekiti wake comrade Joseph Mnemba imesema kuwa haitamvumilia mtu yeyote anaepingana na...
Iwe mvua Au jua watu wa Iramba tunamhitaji Prof. KITILA MKUMBO 2020 awe mwakilishi wetu Bungeni, Haya ni matamanio yetu kutoka nyoyoni mwetu wanaIramba, CCM na wanaccm tupo tayari kumsapoti.
Iramba haikupaswa kuwa hivi
Pole sanaaaaaaa, Mwigulu ndiye aliyekodi Gari ya kijana aitwae calfonia wa kiomboi akajaza wahuni wa mgodini wakaenda KUUA NDAGO, mpka sasa calfonia anamdai m1 ya kumkodishia Gari, hao watoto Mia 300 wako wapi?, ndio hao anawadanganya kuwapeleka SHULE anawageuza wake zake? Tuwataje kwa majina...
*MWIGULU UMEJIMALIZA MWENYEWE , USITAFUTE MCHAWI GIZANI*
Nimefuatilia sana mijadala hapa jukwaani kuhusu Mwigulu Nchemba kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 Mwigulu akitamba kwa kujiita Mamba . Kwa tafsiri ya haraka Mamba ni mnyama anayeua binadamu na wanyama wengine bila huruma , kwa msiomjua...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.