Wanaume mnashindwa kuelewa nafasi yenu kwenye ndoa wewe ni kichwa unatakiwa kutawala kwa akili sio kwa upendeleo kama mkeo hapatani na dada yako oongea na mkeo kwa upendo nini unataka na atakuelewa ila ukitaka kujifanya unampotezea akikulalamikia ndo unawasha moto pili punguza kuongelea mabaya...
nina elimu nzuri na nimeacha kazi baada ya kuona nina watoto mapacha mara mbili yaani wannee wamefatana sana na watundu tukashauriana niache ili niwe nawaangalia kwa ukaribu kuliko kumuachia mdada wa kazi watoto wote atakimbia
Mimi ni mwana ndoa mme wangu anamwanamke wa nje nimeshakuta msg simu za yule dada nazikuta nimeumia mpaka sasa hv naamua kupotezea ila kinachonisumbua sasa ni mhemuko haniridhishi kabisa ni atanipa kimoja hata kabla sijafika mwisho kamaliza na hataki nimguse tena nikifikiria kuwa na mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.