Recent content by Kidizo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Waangalizi wa ndani wa uchaguzi(Cemot) wakataa kushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar

    duuh kuna watu wanapenda asee
  2. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    sio ishu sana, hebu tuonyeshe basi hizo picha ulizopiga hapo dukan ili tuone hicho kiti
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Aiseee maneno yako yangekuwa yana ukwel ingekua story nzur sana, hiv ni wabunge wangap wameandaa ziara za kwenda kujitambulisha majimbon kwao? Halaf unaposema Ubungo, ubungo ni kubwa sijui ni mitaa gan ambayo wamesema hayo maneno kuwa wameuziwa mbuzi kwenye gunia? Mbunge anahak ya kwenda...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hoja ya upinzani kwa sasa ni ipi hasa?

    Dah yan kwahaya aliyofanya magu bas ndo upinzan ukose hoja? ingekua hivyo dunian kusingekua na upinzan
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa CHADEMA kutumia zaidi ya shilingi milioni 400 kwenye Msiba wa Alphonce Mawazo?

    Hahaaa dah inafika tym inabid ucheke tu, yan mbowe kawasilisha ombi kwa lowassa kuwa apewe million 200, halaf hapo hapo chama kimetoa million mia 4, hadi hapo jumla ni million mia 6.....then hazijulikan zilikoenda... Hiv msiba ulilshaisha kumbe au bado? Pamoja na yote tunataka waliomuua mawazo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuwa upinzani sio 'endorsement' ya kuwa kipofu wa macho na fikra

    Kwan kuna alielazimishwa kutoa hizo hela, kila mtu anatoa kwahiari yake, dah wabongo bhana hamkosi maneno
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa, umeamua kuwa na busara?

    mwachen mzee apumzike, hiv angesema watu waingie mtaan leo mngekua mnasemaje humu ndani.. Ameamua kunusuru maafa na ndo mana mnapata muda wa kuyaandika haya yote
  8. K

    JamiiForums Tanzania Namba za vitambulisho vya kupigia kura zinatafutwa sana

    Nilikutana na hiyo adha juzi, ikabid niwadanganye kuwa shahada yangu imepotea
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnataka shahada zetu?

    Nahis kuna rafu zishaanza tayar, watu tuwe macho na hili jambo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnataka shahada zetu?

    Hamna kitu kinachoniuma kama kuona hawa wajumbe wa CCM kuchukua VITAMBULISHO vya watu na kwenda kunakili namba za VITAMBULISHO, kama mnajiamini, na kama mnaona mnapendwa acheni kuchukua VITAMBULISHO VYA watu, wote tusubiri october wananchi wenyewe tuzungumze. Kila mtu ana KITAMBULISHO chake...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nachukia Umasikini

    Inawezekana umehadithiwa, na ww kwa kupanic ukajiongeza
  12. K

    JamiiForums Tanzania Maelfu wajitokeza Zanzibar kuwapokea John Magufuli na Mgombea Mwenza, Samia Saluhu

    Hiv huo ulinzi hata mgombea wa ukawa atakua anapewa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    warioba A
Back
Top Bottom