Recent content by kidim

  1. K

    Dalili Mbaya Kiuchumi, Hata Maonyesho ya Sabasaba yamedoda!

    Watu wanajiandaa kwa panga la 18% nk nk.hapo bado ukiuza kitu toa risiti,ukinunua kitu dai risiti.Tunaisoma namba wote mwaka huu.
  2. K

    Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    maskini mkulimaaa! is this genuine bonafide? pasco hebu tuthibitishie kitaalam plse!
  3. K

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Vipi wale jamaa wengine wako wapi ?maana yake jukwaani sijawaona kabisa tena katika picha zoote.Shonza,mchange na nani sijuw yule.Au ndo tayari wamewatupa?au wamepata ulaji wizara ya fedha nao?
  4. K

    Kwa hili lililotokea Kigoma CHADEMA wasithubutu kumfukuza Zitto Kabwe

    Ofcourse mapokezi tumeyaona je nini sasa mtafanya ili kuendelea kumweka jamaa juu au kujaribu kubadili uelekeo wa CC ya chama? tunarudi tena serena au na kesho tena mtafanya mapokezi mengine?Nawapongeza kwa ubunifu mlionao lakini bado hautoshi kupambana na watu wenye uono mpana na fikra pevu CDM...
  5. K

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    Dr w.slaa
  6. K

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    Hii kura ya pasco umeiba hebu mrudishie mwenyewe haraka.
  7. K

    PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    Jana nilikuwa nakutafuta katika ule uzi wa Kagasheki ulikuwa wapi ndugu yangu? Hasira zote ndo umeamkia Kigoma? Poleni sana mkirudi tukutane ofisini tukajipange upya naona jamaa wanataka tuharibia mkate wetu wa kila siku na siku hizi jamani mbona majanga.!
  8. K

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    aaaah sasa naona JK ameishiwa kabisa watu wenye uwezo na kazi na sasa atajaribu kuwaweka kina mingiro na option pekee inayoweza kumuokoa ni kufanya tena maajabu kwa kuchagua mawaziri kutoka katika kambi ya upinzani (CDM) Tusishangae kina zitto,lisu ,Mnyika kupewa hizo post manake watu wake wa...
  9. K

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    wakati mnawatafuta kina Rtz jamani naomba muwaulize safari yetu kesho kigoma ipo au bosi kaagiza turudi haraka ofcn Lumumba tukajipange upya?sasa kama hivyo dogo aka prezoo kesho atasindikizwa na nani si tutazidiwa ujanja na vijana wa Bavicha?Lakini liwalo na liwe kwani dogo amechangia mwenyewe...
  10. K

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    daah serikali kama hii ya jk inapatikana hapa tz tu ktk dunia yoote hii.Mzee mwanakijiji hebu tusaide upembuzi yakinifu wapi tunakwenda.Mzee wetu wa kuambiwa amechelewa sana kuambiwa mpaka tunafikia huku.nadhani mama alietoka UN sasa hivi atakabidhiwa wizara
  11. K

    Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    Faiza Foxy maoni ya wengi humu jamii forum either ni prochadema au promaccm tunaamini pesa zimefichwa uswisi na zitto amefikia uamuzi ule either kunajambo anaficha au bado hajakamilisha kile anachokiamini ni ushahidi wa jambo hilo.Hivyo basi kauli za watu wachache humu ndani isichukuliwe kwamba...
  12. K

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Kwanini asije mwenyewe mpaka atafutwe na uongozi wa jamii forum wakati huko facebook kwa watoto wa shule na tweeter anapost atakavyo? anatudharau au anakwepa hoja nzito?kwa nini asije kwa ID yake verified akaclearup all doubts?Haya mambo yakusemeana mpaka lini?Si yeye ndio aliyekafanya interview...
  13. K

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Kati ya hawa hapa chini mbona simuoni mwenyewe zito?kwa nini asemewe au asemee facebook,tweeter na kwingineko ila si hapa?Au na yeye ni bingwa wa kutumia multiple IDs?Au ni miongoni mwa hawa guest wetu?na kwanini yeye akiwa ni mmojawapo wa founders wa hii kitu leo aje kwa kificho.Aisee! There...
  14. K

    KUHUSU Katiba ya CHADEMA, ufafanuzi huu hapa; watoa tuhuma hawana hoja, walete nyaraka

    Kwa mtazamo wangu binafsi sisi wapenzi na wanachama wa CHADEMA sasa hivi tukae na tufikirie kwa makini,nini kifanyike badala ya kurushiana makombora.Katiba ndio hiyo haina ukomo wa uongozi kwa viongozi wetu basi tukae na kupendekeza yafanyike marekebisho ya katiba na vipengere muhimu ambavyo...
  15. K

    KUHUSU Katiba ya CHADEMA, ufafanuzi huu hapa; watoa tuhuma hawana hoja, walete nyaraka

    Kweli mkuu,inabidi tuzidi kuwauliza yeye na nani au kinanani?kwanini watusemee na sisi ilihali midomo tunayo?nijuavyo mimi kama hawadanganyiki hawalazimishwi kukaa CDM hakuna aliyeshikiwa mtutu wa bunduki ili achukue kadi ya chadema kama wamechoka waende kwa magamba.Hawa ni ccm na wanayo katiba...
Back
Top Bottom