naomba nieleweshwe kabla sijaenda kukata nimeskia watu wengi wanasema kama una bima ndogo gari ikipata ajali hulipwi kitu,sasa ni ya nini na tunakata ili iweje?
Swala la vyeti feki wala wale wafanyakazi wasifukuzwe ni kuwaonea hawa waliowaingiza kazini, kama meneja waajiri walishindwa kusimamia majukumu yao ndio wa kuwafukuza na kufungwa kabisa.
Hawa watu wa hovyo sana, hizi nafasi zingefutwa tu kama walikuwepo na wafanyakazi hewa au vyeti feki vinapatikana na uzembe mwingine wa ajabu, sidhani kuwa walikua hawajui kua kuna wafanyakazi hewa au wenye vyeti feki, yani hawa ma HR ndio wangefukuzwa na kufungwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.