Recent content by kideko

  1. kideko

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Rais Magufuli kutoshiriki katika kuwaaga Makamanda 14 wa JWTZ waliouawa DRC...

    Msiba wa Dr.Masaburi
  2. kideko

    JamiiForums Tanzania Drywall na ujenzi wa kisasa

    Disadvantage ndio nyingi kushinda Advantage
  3. kideko

    JamiiForums Tanzania Kiwanja chenye msingi kinauzwa 6.5m

    3.2 ml
  4. kideko

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga

    Haya boss, nimeku pm namba yangu
  5. kideko

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga

    Nipo tayari mkuu, naomba nisaidie
  6. kideko

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga

    Mwenye Nyumba wataelewa tu, na pia Mwenye Nyumba atakuja Pm, awezi kukoment.
  7. kideko

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba ya kupangisha

    Wakuu nahitaji Nyumba ya vyumba viwili , sebule, jiko na choo cha ndani, luku ya kujitegemea na Maji. Maeneo yoyo dar, yalio Karibu na Mjini. Bajati yangu 200000. Dalali hatakiwi.
  8. kideko

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga

    Dar tu mkuu
  9. kideko

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga

    Dalali hatakiwi, ila maeneo ni , Kimara, ubungo, Tabata , Ukonga kwa ujumla Karibu na Mjini. Msisitizo Dalali hatakiwi.
  10. kideko

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga

    Nahitaji Nyumba ya vyumba viwili, sebule, jiko na choo cha ndani. Bajati 200000. Dalali hatakiwi. Mwenye nayo ani Pm.
  11. kideko

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina appetite iliyopitiliza

    Hata mke wangu nae Hivyo Hivyo anapenda kula kula sijui mnanini nyie wanawake.
  12. kideko

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la ngozi , yapata mwezi wa 5

    Tafuta vitunguu swaumu, utwange halafu upake Yale Maji yake baada ya kuoga kutwa Mara tatu, siku saba. Utapona kabisa na ngozi yako itarudi natural.
  13. kideko

    JamiiForums Tanzania Line ya Tigo-pesa inahitajika

    Ndio nin hiyo mkuu, spere au nini!!!!
  14. kideko

    JamiiForums Tanzania House4Rent Pata Nyumba Ya Kupanga Kigamboni

    Ebhana na Mteja anataka vyumba viwili na sebule , budget yake 130 kwa mwezi maeneo ya Kigamboni.
Back
Top Bottom