Recent content by Kidegepurundu

  1. K

    Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

    Ng'ombe ww amechoka mm akoooo....
  2. K

    James Rugemalira ana biashara lukuki, akimpa mtu hela si lazima iwe ya ESCROW

    Acha maneno yako... JK Nyerere unamkumbuka? haikua rahisi kwa mtumishi wa umma wa Tanganyika aka TZ kuwa mfanyabiashara!!!!
  3. K

    Kikwete anavyoonekana jamii za kimataifa

    Nataman kama angepotea tusijue aliko.....
  4. K

    Kikwete anavyoonekana jamii za kimataifa

    Hahahaaaaaa...... wasaka tonge naoo!!!! hovyooooooo
  5. K

    Kagame adaiwa kupandikiza makachero nchini kuipeleleza Serikali… mbunge atajwa kuhusika!

    Kagame ni --------, lakini tusimpuuze, ni wa kuwa nae makini maana -------- akiachwa atambe madhara yake makubwa. Ni wasaa wa serikali kuwa makini, viongozi kuwa makini na kila mtu kuwa makini. UTAIFA NA UZALENDO KWANZA MENGINE.
  6. K

    Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

    Ili kupunguza mianya ya rushwa si lazima kuhalalisha vitu haramu kama bangi. Bali ni kuweka usimamizi madhubuti kupambana na rushwa. Serikali inyowajali wananchi wake haiwezi kuwapa wananchi wake pombe sababu ni sumu na si nzuri kwa afya kinyume chake itahamasisha unywaji wa vinywaji vya...
  7. K

    Afande Sele: Lazima CHADEMA Itashainda Morogoro

    Nyimbo za afande sele tu ukilinganisha na maoni ya lusinde katika jambo lolote lile utaona nani ana busara. Afande sele ni mtu makini na ana kila sababu ya kuchukua jimbo moro kuliko takataka iyo ya CCM.
Back
Top Bottom